rais wa ukraine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky kwa kuruhusu nafaka zilizoibiwa na Russia kupelekwa Haifa-Israel

    Volodymyr Zelensky aliishutumu Israeli kwa kuruhusu nafaka "zilizoibwa" za Kiukreni kutoka maeneo yanayokaliwa na Urusi kuingia bandarini mwake, akionya kwamba Kyiv inaandaa vikwazo dhidi ya wale waliohusika. Kulingana na ripoti ya Haaretz, meli inayodaiwa kubeba nafaka kama hizo ilikuwa...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Rais Ukraine asema Urusi inatafuta Wapiganaji wa Afrika ikiwemo Tanzania wakapigane vita dhidi ya Ukraine . Kumbe ndo sababu Wanamuunga Mkono Mtekaji!

    Hakuna Siri itabaki sirini !!. Rais wa Ukraine amezionya Nchi za Afrika kuacha kuisupport Nchi ya Urusi Kwa kuipatia Wapiganaji kwani Kwa kufanya hivo ni kutangaza Vita dhidi ya Ukraine !!. Haya Yamejiri ikiwa ni siku chache tangu Urusi itume Ujumbe maalumu kuonana na Aliyejichagua na...
  3. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Mvutano mkali kati ya Trump na Zelensky watokea katika Ikulu ya White House

    Mabishano Makali Katika Oval Office: Zelensky Aingia Katika Mvutano Mkubwa na Viongozi wa Marekani Rais DonaldTrump na Rais wa Ukraine #VolodymyrZelensky walikuwa na mivutano mikali wakati walipokutana katika Ikulu ya White House. Trump na Makamu wake Rais JDVance walionyesha wazi kuwa waliona...
  4. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Dharau za Rais wa Ukraine ni za level nyingine, anawakoromea Marekani nyumbani kwao. Angalia video

    Hii dharau na kiburi na kujiamini kwa rais wa Ukraine ni kwa level nyingine kabisa ambayo hainawahi kuonekana Duniani. Zelensky yuko oval ofisi ama ikulu ya Marekani na awajibi Trump na Vance kwa dharau na kiburi cha hali ya juu sana. Trump amesema Zelensky ameidharau sana Marekani tena mbele...
  5. Heavy Heritage

    JamiiForums Tanzania Zelensky awaagiza wasaidizi wake kukataa mpango wa Marekani wa kupata madini adimu kutoka Ukraine

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amewaagiza wasaidizi wake kukataa pendekezo kutoka kwa maafisa wa utawala wa Trump ambalo lingewapa Marekani upatikanaji mkubwa wa madini adimu ya Ukraine, afisa mmoja wa Ukraine aliye karibu na Zelenskyy amethibitisha kwa NBC News. Maafisa wa Marekani...
Back
Top Bottom