Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Hakuna Siri itabaki sirini !!.
Rais wa Ukraine amezionya Nchi za Afrika kuacha kuisupport Nchi ya Urusi Kwa kuipatia Wapiganaji kwani Kwa kufanya hivo ni kutangaza Vita dhidi ya Ukraine !!.
Haya Yamejiri ikiwa ni siku chache tangu Urusi itume Ujumbe maalumu kuonana na Aliyejichagua na kunipigia kura kua Rais ,wakimhakukishia kumlinda in return Urusi ikitafuta Wapiganaji.
Urusi inajitajidi kupanua Mahusiano yake na Nchi mbalimbali za Kiafrika katika jitihada za Kupambana na Wamagharibi.
Hata Bunge la Marekani na Ulaya Vimezionya Nchi yoyote inayounga Mkono Urusi dhidi ya Vita ya Ukraine.
Wakuuu Kunakaribia Kukucha !!.