Hakuna Siri itabaki sirini !!.
Rais wa Ukraine amezionya Nchi za Afrika kuacha kuisupport Nchi ya Urusi Kwa kuipatia Wapiganaji kwani Kwa kufanya hivo ni kutangaza Vita dhidi ya Ukraine !!.
Haya Yamejiri ikiwa ni siku chache tangu Urusi itume Ujumbe maalumu kuonana na Aliyejichagua na...
Wakuu,
Kikundi cha wanamgambo wa Kiislamu kinachohusiana na Al Qaeda, JNIM, kimedai kuhusika na shambulio dhidi ya kambi ya kijeshi katika jimbo la Loroum kaskazini mwa Burkina Faso, ambapo wamesema waliua wanajeshi 60.
Shambulio kubwa lilitokea katika mji wa Sole, huku shambulio jingine...
Waafrika wanaoishabikia urusi hudai kuwa haikuwa kuwa na makoloni afrika kama mabeberu. Wasichojua ni kwamba urusi ilikuwa na makoloni makubwa sana huko Asia na bado inayamiliki hadi leo pamoja na kuwa Afrika yote leo iko huru.
Kwa mfano mpaka leo Siberia ni koloni la urusi pamoja na kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.