Zelensky awaonya wanajeshi wa Urusi kujisalimisha

5525

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
5,412
Reaction score
6,279
Hali imebadilika mwanzo wa hii operation Urusi ndio wakiionya Ukrain wanajeshi wake kujisalimisha lakini baada ya miezi 7 sasa Rais wa Ukrean Zelensky amekuja na kauli hii yeye kuwaambia wanajeshi wa Urusi wajisalimishe na hii ni baada ya Ukrean kufanikiwa kurejesha maeneo yake karibu kilimita 8000 za mraba kule mashariki mwa Ukrean katika mji wa Khakiv.

Maneno haya ameyasema jana wakati anatembelea maeneo waliyoyakomboa kutoka kwa wavamizi na kupachika bendera ya Ukraine kwa heshima zote

18c2f2d8-9697-4c46-847d-046062ba1f8b.jpg
 
Putin unazingua sana Yani imefikia dogo Zele anakuambua jeshi lako kujisalimisha kweli Putin dogo anatamba hivi, ama kweli Kuna timu zingine ukishabikia utapata pressure Yani mwanzo wa mchezo safi kabisa lakini mwisho majanga.
 
Hiyo habari chanzo ni BBC kwa hiyo inapewa airtime kwenye vyombo vyao.

Huyo Zele anaongea tu hivyo kujifariji lakini kihalisi vita bado ni mbichi sana.

Acha uoga kijana
 
Akitoka hapo anaenda kulia war crimes,aendelee kutafuta makaburi huko Izyum maana Kuna mass grave Russia kafukia 1000!
Inaitwa sensa jifanyie mwenyewe!
 
Hali imebadilika mwanzo wa hii operation Urusi ndio wakiionya Ukrain wanajeshi wake kujisalimisha lakini baada ya miezi 7 sasa Rais wa Ukrean Zelensky amekuja na kauli hii yeye kuwaambia wanajeshi wa Urusi wajisalimishe na hii ni baada ya Ukrean kufanikiwa kurejesha maeneo yake karibu kilimita 8000 za mraba kule mashariki mwa Ukrean katika mji wa Khakiv.

Maneno haya ameyasema jana wakati anatembelea maeneo waliyoyakomboa kutoka kwa wavamizi na kupachika bendera ya Ukraine kwa heshima zote

View attachment 2358728
Shoga anawezaje kuonya wanaume
IMG_20220912_134636_241.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom