Hali imebadilika mwanzo wa hii operation Urusi ndio wakiionya Ukrain wanajeshi wake kujisalimisha lakini baada ya miezi 7 sasa Rais wa Ukrean Zelensky amekuja na kauli hii yeye kuwaambia wanajeshi wa Urusi wajisalimishe na hii ni baada ya Ukrean kufanikiwa kurejesha maeneo yake karibu kilimita 8000 za mraba kule mashariki mwa Ukrean katika mji wa Khakiv.
Maneno haya ameyasema jana wakati anatembelea maeneo waliyoyakomboa kutoka kwa wavamizi na kupachika bendera ya Ukraine kwa heshima zote
Maneno haya ameyasema jana wakati anatembelea maeneo waliyoyakomboa kutoka kwa wavamizi na kupachika bendera ya Ukraine kwa heshima zote