mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Zelensky anatia huruma, hataki kuamini kuwa habari za kutekwa Bukhmut ni halisi!! Anatamani iwe ni kama ndoto ili atakapotoka usingizini aseme Ah! kumbe ni ndoto tu. Lakini huo ndio ukweli, aliwekeza nguvu zake zote kuilinda ngome yake kubwa ya Bukhmut.
Wakati msaidizi wake amekubali kuwa Bukhmut imeshatekwa ila wataurudisha tena mikononi mwao mji huo, yeye Zelensky amesema HAPANA bado Bukhmut haijatekwa!!
A defiant Volodymyr Zelensky has insisted Bakhmut "is not occupied" by Russia after a Moscow-backed mercenary group had claimed control.
Ni kama tajiri akifilisika ghafla huwa hataki kukubaliana na ukweli huo!! Sasa mimi nasema si aende mwenyewe huko Bukhmut akapige picha live pale ili watu wakubali kuwa bado anamiliki Bukhmut!