Hiyo habari ya kusema Putini amewafukaza kazi majenerali watano ni fake news. Kungekuwa na ukweli habari hiyo ingeonyeshwa kwenye TVs za magharibi kwa wiki nzimaNashindwa kuendelea na ww kwenye hoja hii kama ni tofauti kwanini juzi amefukuza kazi majenerali 5?
Hii ni kuonyesha wazi Putin haungwi mkono na majeshi yake usaliti ni mwingi mno, jeshi la russia mara kadhaa wamekuwa wakilalamikia Putin kw uamuzi wake kuivamia ukraine na kuua raia ndugu ambao wameingiliana kwenye kizazi kama nyinyi huko vichogo kutoka bara na kule zanzibar
Putini karibuni alinusurika kifo kutoka kw walinzi wake chup chup