Zelensky: Nina hakika Putin hawezi kutembelea wanajeshi wa Urusi nchini Ukraine'

Hiyo habari ya kusema Putini amewafukaza kazi majenerali watano ni fake news. Kungekuwa na ukweli habari hiyo ingeonyeshwa kwenye TVs za magharibi kwa wiki nzima
 
Wangemuua kabisa huyu trash Putin.
 
Rais wa taifa kubwa duniani Kama Russia aende kutembelea wanajeshi mstari was mbele kwa wazo la Nani? Yaani fsb wakubali?Russian military wakubali? I'll Nini akitembea huko? Kama Vita wanae wanaendelea kuchukua maeneo ugenini.
Trump aliwahi kutembea ugenini Iraq 2018 lakini Vita ya Iraq so Kama hii.
Vilevile Putin 2017 au 18
 
Kama alienda Syiria wakati ule wa vita vikali..ni hapo tuu upande mwingine?
nan angemshambulia kule Syria ,tofautisha migogoro , mgogoro huu anauliwa vzr sabab zipo maana kaharibu nchi ya watu kwa sababu za kijinga sana , wkt waukraine wenyew walilidhia kujiunga na NATO na sio mawazo ya rais , ila kule Syria Kumshambulia Putin kungehaharisha Vita baina ya USA na Urusi , kitu ambacho West hawakuwa na manufaa nacho maana target ilikuwa kuiba mali ghafi za Syria na tyr walikuwa wameshika maeneo strategic
 
Hata hivyo aende kufanya nini kwani?
hujui maana ya Rais kwenda mstar wa mbele kuwapa morali vijana wake , kila vita baina ya nchi mbili zilizopakana , viongoz kwenda kuwasalimia vijana hutoa morali kwa wapoganaj na kuona matumaini ya kuendeleza mapambano
 
Yani kama mtoto yule anayesema ukija kwetu huli aje asije miji inachukuliwa anataka ampangie komredi putin yeye kama naaaaani??!!!! Ngoja mpaka vijana wasafishe mji ndipo komredi wetu aje akanyage sehemu safi na salama.
Hitler alianza hivyo hivyo
 
ushabik bana ,Kwahiyo na Nyerere alikuwa hajiamini ? vita zina mbinu
 
Hee Kama Putini analiamini jeshi lake angebadilisha askari wanaomlinda yeye binafsi zaidi ya mara nane????
Ivi wewe unaishi dunia ipi?
hajielew huyo , Putin analialia huko Moscow kuwa wanataka kumvamia ila yy yupo kupaza shingo apa
 
hujui maana ya Rais kwenda mstar wa mbele kuwapa morali vijana wake , kila vita baina ya nchi mbili zilizopakana , viongoz kwenda kuwasalimia vijana hutoa morali kwa wapoganaj na kuona matumaini ya kuendeleza mapambano
Wambieni wavuke mpaka wakapiganie Urusi muone kama hataenda kuwatembelea, yeye ni kiongozi wa nchi kwenda kudhurula nchi nyingine mnayopigana kwa akili yako unaona ni busara na salama, au mnataka mje na maneno mengine ya alienda kufanya nini wakati hashiki siraha.
 
na hapo bado hawajamwingilia , siku wakiingia mjin moscow , atajiua km Hitler
Hakuna taifa lolote hapa duniani lenye ubavu wa kuingia Moscow. Hayo maeneo tuliojimegea kimasihala ubavu wa kutia mguu hamna ndio mje mtie mguu Moscow??
 
Putin akienda kule lazima CIA waunyake huo mpango, watamfanya kama walivyomfanya Soleimani.
 
hujui maana ya Rais kwenda mstar wa mbele kuwapa morali vijana wake , kila vita baina ya nchi mbili zilizopakana , viongoz kwenda kuwasalimia vijana hutoa morali kwa wapoganaj na kuona matumaini ya kuendeleza mapambano
Hakuna rais anayekwenda mstari wa mbele kwenye vita. Huyo jamaa ni Comedian, alikwenda kupiga picha wakati Ukraine army wakishikilia hayo maeneo kablaa ya kufurushwa na jeshi la Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…