Zelensky: Nina hakika Putin hawezi kutembelea wanajeshi wa Urusi nchini Ukraine'

Haka kacomedian kana vutuko sana,kanaleta vituko vyake mpaka kwenye jambo serious, yeye ameona wanajeshi wake hawana morale na kuwatembelea ni njia ya kuboost morale sawa,mwenzie ni jasusi anajua hizo mbinu na anajua anayo ama hana haja ya kuboost morale na atekelezaje hilo,ssa kusema Putin hawezi kwenda frontline kuwachek wanajeshi wake ni upuuzi maana si njia pekee ya kuboost morale.
 
Putin siku hizi anaishi kwenye mahandaki utadhani kenge.
wayukren wa buza kwa mpalange siku hizi mnajua ratiba ya mizunguko ya putin kushinda hata wayukren original wa pale kyiv.
 
Anazidiwa na Bush, Trump wote walienda Bagram Afghan
 
Si alishakufwa
 
Yule akikanyaga tu Ukraine hawezi rudi Urusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…