Zelensky sasa anataka dunia yote iwasuse warusi wote. Warusi wote warudi urusi!! Dunia yao iwe urusi!!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Baada ya kuona vikwazo vya kiuchumi vimeshindwa kumdhibiti Putin, baada ya kuona misaada ya silaha na fedha (kwa sasa zimefikia zaidi ya dola bilioni 65!) zimeshindwa kumfanya Putin aiachie Ukkraine, sana sana anagawa uraia kwa wa-ukraine wa maeneo yaliyotekwa. Sasa Zelensky anaona njia pekee ni kuwasusia warusi duniani kote. Anataka kila nchi iwafukuze warusi warudi kwao!!

Zelensky anajaribu kuwaza kitu ambacho hakiwezekani!! Dunia siyo nchi za magfharibi peke yake!! Wewe ukiwakataa wenzako wanawahitaji!! India na China wamechangamkia sana soko la Urusi lililokimbiwa na wazungu, pia wanachangamkia gesi na mafuta waliyosusia wazungu!! Kuna msemo usemao: "ukisusa wenzio wala"!!

Interviewed inside his fortified office in Kiev, Zelensky told the Post that “the most important sanctions are to close the borders – because the Russians are taking away someone else’s land.” Russians should “live in their own world until they change their philosophy.”

“Whichever kind of Russian … make them go to Russia,”
he said, according to the paper, arguing that collective punishment was the only way. “They’ll understand then. They’ll say, ‘This [war] has nothing to do with us. The whole population can’t be held responsible, can it?’ It can. The population picked this government and they’re not fighting it, not arguing with it, not shouting at it.”
 
Rais Putin kakuzidi kila kitu. Uwe na adabu
Ukishakuwa muuaji,hata ukiwa na cheo gani unakuwa umeshapoteza credibility., Ina maana huyo Putin ana akili sana kuliko viongozi wote wa dunia waliofunga safari kwenda Moscow wakimsihi asivamie Ukraine??..,

Ndio maana hata rais mseveni kamtolea nje huyo dikiteta, maana kamuona ni mpuuzi Tena muuaji,
 
Nimekosa Mimi nimekosa sana hakuna dunia bila wewe Putin alisikika member mmoja wa Nato
62eed5ec20302704733599b7.jpg
 
Ukishakuwa muuaji,hata ukiwa na cheo gani unakuwa umeshapoteza credibility., Ina maana huyo Putin ana akili sana kuliko viongozi wote wa dunia waliofunga safari kwenda Moscow wakimsihi asivamie Ukraine??..,

Ndio maana hata rais mseveni kamtolea nje huyo dikiteta, maana kamuona ni mpuuzi Tena muuaji,
Unafurahisha sana
 
Sio yeye tu...mpaka ukoo wake wote tangu ulimwengu unaumbwa huu....na mpaka yeye..na watoto wake.na ukoo wake wote...mpaka mwisho wa hii dunia...usikute hawatawezapata mtu mwenye mamlaka kama huyo Putin......haijalishi anayatumia vibaya au vizuri....
Umemaliza kila kitu📌📌📌📌📌
 
Jamaa sasa ataluka wazimu mipango yote imeshindwa Yuko peke yake,
NATO hawezi kushinda kijeshi hapo lazma tu waludi mezani na bwana mkubwa putin
 
Baada ya kuona vikwazo vya kiuchumi vimeshindwa kumdhibiti Putin, baada ya kuona misaada ya silaha na fedha (kwa sasa zimefikia zaidi ya dola bilioni 65!) zimeshindwa kumfanya Putin aiachie Ukkraine, sana sana anagawa uraia kwa wa-ukraine wa maeneo yaliyotekwa. Sasa Zelensky anaona njia pekee ni kuwasusia warusi duniani kote. Anataka kila nchi iwafukuze warusi warudi kwao!!

Zelensky anajaribu kuwaza kitu ambacho hakiwezekani!! Dunia siyo nchi za magfharibi peke yake!! Wewe ukiwakataa wenzako wanawahitaji!! India na China wamechangamkia sana soko la Urusi lililokimbiwa na wazungu, pia wanachangamkia gesi na mafuta waliyosusia wazungu!! Kuna msemo usemao: "ukisusa wenzio wala"!!

Interviewed inside his fortified office in Kiev, Zelensky told the Post that “the most important sanctions are to close the borders – because the Russians are taking away someone else’s land.” Russians should “live in their own world until they change their philosophy.”

“Whichever kind of Russian … make them go to Russia,”
he said, according to the paper, arguing that collective punishment was the only way. “They’ll understand then. They’ll say, ‘This [war] has nothing to do with us. The whole population can’t be held responsible, can it?’ It can. The population picked this government and they’re not fighting it, not arguing with it, not shouting at it.”
MK254 akiona uzi huu anarudi kujifungia kabatini
 
Back
Top Bottom