Zelensky: Ukraine inapoteza wanajeshi 60 - 100 kwa siku

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
41,728
Reaction score
103,997
Raisi Zelensky usiku wakuamkia leo Amesema nchi yake inapoteza wanajeshi 60-100 kila siku kwenye mapambano yanayoendelea nchini kwake.

Amezungumza hayo katika mahojiano yake na kituo Cha television Cha NEWSMAX TV CHANNEL kuhusiana na Hali ya Vita mashariki mwa Ukraine.

Zelensky alisisitiza kwamba Hali ni mbaya Sana hasa kusini mwa donesk na luhansk japo wanajitahidi kuzuia sana mashambulizi ya Russia kadri ya uwezo wao.

==========

In an interview with Newsmax TV Channel, President Volodymyr Zelensky said the situation in the east of Ukraine and southern Donetsk and Luhansk remains the most tense.

“We’re losing 60-100 soldiers per day killed in action and around 500 people wounded in action. So we are holding our defensive perimeters,” Zelensky said, adding that Ukraine and her people are the “defensive perimeter” for the world.

Zelensky.PNG

Source: Kyiv Independent
 
Na hapo ndio wamejitahidi kutoa idadi kiduchu, kiuhalisia wanajeshi wa Ukraine wako wanapukutika kwa idadi kubwa zaidi kama kumbikumbi
Wali alishasema,
Hii ni Vita ya mashine sio magobole.
Russia anarusha mvua ya mabomu kwanza, baada ya hapo askali wa mguu ndo wanakuja kufanya sweeping kwa wale waliobakiza roho kiduchu.
 
Sasa si asitishe vita ama hadi waishe wote
 
[emoji3538][emoji3538][emoji3538]Any supply of weapons to Ukraine, no matter how Washington argues them, increases the risk of a direct clash between the Russian Federation and the United States, Deputy Foreign Minister Ryabkov told RIA Novosti[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
 
Raisi Zelensky usiku wakuamkia leo Amesema nchi yake inapoteza wanajeshi 60-100 kila siku kwenye mapambano yanayoendelea nchini kwake.

Amezungumza hayo katika mahojiano yake na kituo Cha television Cha NEWSMAX TV CHANNEL kuhusiana na Hali ya Vita mashariki mwa Ukraine.

Zelensky alisisitiza kwamba Hali ni mbaya Sana hasa kusini mwa donesk na luhansk japo wanajitahidi kuzuia sana mashambulizi ya Russia kadri ya uwezo wao.

==========

In an interview with Newsmax TV Channel, President Volodymyr Zelensky said the situation in the east of Ukraine and southern Donetsk and Luhansk remains the most tense.

“We’re losing 60-100 soldiers per day killed in action and around 500 people wounded in action. So we are holding our defensive perimeters,” Zelensky said, adding that Ukraine and her people are the “defensive perimeter” for the world.

View attachment 2246794

Source: Kyiv Independent
Wachache sana ngoja tuongeze moto
 
hao bado wachache inatakiwa ifike buku per day.
 
Hao kidogo inabidi wadondoke hata mia tano kwa siku
 
Wali alishasema,
Hii ni Vita ya mashine sio magobole.
Russia anarusha mvua ya mabomu kwanza, baada ya hapo askali wa mguu ndo wanakuja kufanya sweeping kwa wale waliobakiza roho kiduchu.
[emoji16][emoji16][emoji16]
Nacheka kama mazuri
 
Back
Top Bottom