Zelensky: Ukraine inapoteza wanajeshi 60 - 100 kwa siku

Zelensky: Ukraine inapoteza wanajeshi 60 - 100 kwa siku

Sasa SI akubali yaishe TU Kama kweli anawajali watu wake..mwenye NGUVU mpishe


Hiyo ndio shida ya uroho wa madaraka, anasahau kwamba maisha ya watu yanayothamani kubwa kuliko madaraka anayotaka hao watu wampiganie kwa kisingizio cha Uzalendo wa kulinda nchi yao!!.
 
Nimeona hapa[emoji116][emoji116][emoji116]
Ona comments zilizo kwenye hiyo video ya library.
20220601_194534.jpg
 
Si ndiyo anashinda hiyo Vita au!?
Maana siku zingine anatuambia Warusi 1,000 kila siku wanauawa!

Comedian of the decade
 
Raisi Zelensky usiku wakuamkia leo Amesema nchi yake inapoteza wanajeshi 60-100 kila siku kwenye mapambano yanayoendelea nchini kwake.

Amezungumza hayo katika mahojiano yake na kituo Cha television Cha NEWSMAX TV CHANNEL kuhusiana na Hali ya Vita mashariki mwa Ukraine.

Zelensky alisisitiza kwamba Hali ni mbaya Sana hasa kusini mwa donesk na luhansk japo wanajitahidi kuzuia sana mashambulizi ya Russia kadri ya uwezo wao.

==========

In an interview with Newsmax TV Channel, President Volodymyr Zelensky said the situation in the east of Ukraine and southern Donetsk and Luhansk remains the most tense.

“We’re losing 60-100 soldiers per day killed in action and around 500 people wounded in action. So we are holding our defensive perimeters,” Zelensky said, adding that Ukraine and her people are the “defensive perimeter” for the world.

View attachment 2246794

Source: Kyiv Independent
Baada ya vita wanaume hupungua sana lama ilivyokuwa ujerumani, na urusi Baada ya sasa itakuwa Iraq, na sasa Ukraine
 
hao bado wachache inatakiwa ifike buku per day.
Wanakufa hadi 200 kwa siku na 800 wanakuwa walemavu wa maisha awawezi tena kupigana ni sawasawa na 1000 kwa siku tayari
 
Wanakufa hadi 200 kwa siku na 800 wanakuwa walemavu wa maisha awawezi tena kupigana ni sawasawa na 1000 kwa siku tayari
mi nataka kisowepo na vilema wa kuleta rawama dawa ni kuua wote, hakuna kukubali surrender.
 
#Breaking #Urgent #Oklahoma

[emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599]

US -At least 7 shot and 3 dead at Warren Clinic in Tulsa, in addition to the shooter.

"Tulsa police say they are currently clearing the building floor by floor, and that it is a "catastrophic" scene inside."

The building is 5 floors. https://t.co/1RuY4sb29T
 
US- TULSA ACTIVE SHOOTING: MULTIPLE DOWN, INCLUDING SHOOTER. POLICE CALL SCENE ‘CATASTROPHIC’
 
Back
Top Bottom