Zembwela katika Super mix

mtoa mada ernesto che, una akili nyingi sana mkuu mimi mwenyewe nliachaga kabisa kusikiliza icho kipindi kwa sababu mtangazaji zembwela ana thinking capacity ilio ndogo kabisa! Haongei logic anabwabwaja pumba tu na wataalamu wa habari waga wanasema "no research no right to speak" sasa ndugu yetu zembwela ambae hata mim namashaka nae na elimu yake ya utangazaji anaongea lolote tu analoliskia basi ili nae aonekane anajua vingi! Mtoa thread nakuunga mkono na uko ryt sana!
 
Kumpiga BAN Matola ni sawa na kumfunika
Nyuki kwa Tenga...atatoka tu

we unaumwa?? Kila napofungua thread nakukuta umeandika pumba io! Toa ushamba kwaio unamwambia nani sasa kua utatoka 2? Au na wewe unataka uonekane unatoaga threads matata mpaka unapigwaga ban?
 
mkuu mbona kama uko bias...tunacho ongea nikuhusu watangazaji wasio na uwelewa wa kujadili hoja ki undani kwa umakini zembwela ni mropokaji nikama anaigiza tu hadi kwenye vitu serious.kusoma sio kigezo cha kutangaza vizuri kuna watu hwajasoma hiyo fan ila wanauwelewa mfano sebo yeye ni professional tofauti ila anauwelewa mkubwa.SAMAHANI LAKINI
 

Unaomba samahani ya nini? tupe kwanza mifano ya kuonesha zembwela ni mropokaj ?
 
Siwezi kukushangaa maana hata yule ni mimiiiiii Goergeeeeeeeeee Maratooooooooooo wa Itveeeeeeeeeeeeeeeee, Musomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

Naye ana mashabiki wake wanaopenda style yake ya kijinga anavyoripoti.
kwi kwi kwi kwi kwi du yan huyo ndo ananichefuaga mtu makini hawezi fanya ujinga huo. halaf huwa nawashangaa itv. ina maana hawaoni kama ni upuuzi na utoto anafanya. khaaaaaaa
 
kwi kwi kwi kwi kwi du yan huyo ndo ananichefuaga mtu makini hawezi fanya ujinga huo. halaf huwa nawashangaa itv. ina maana hawaoni kama ni upuuzi na utoto anafanya. khaaaaaaa

Hahahah..
 

kwani lazima kusikiliza EA Fm?
 
kitu kama hiko hakijawahi kutokea ndugu.
 
Siwezi kukushangaa maana hata yule ni mimiiiiii Goergeeeeeeeeee Maratooooooooooo wa Itveeeeeeeeeeeeeeeee, Musomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

Naye ana mashabiki wake wanaopenda style yake ya kijinga anavyoripoti.

Ananibore Huyo mtu
 
Mimba changa zina tabia ya kuchukia watu bila sababu, ukifika mwezi wa nne-tano mambo yako yatakuwa shwari. Kuhamahama vituo sio kipimo cha ubora. Zembwela ndie mtangazaji bora wa vipindi vya asubuhi kwa sasa baada ya Regina Mwalekwa kuhamia wapi sijui. Wewe na shoga zako munaemtaja-taja munatuthibitishia kuwa huwa munamsikiliza. Endeleeni na moyo huo huo...
 
Fistula inatibika, wahi mapema upate tiba kabla hujapata madhara zaidi, mabwana huwa hawatafutwi kwa style unayokuja nayo wewe, waulize makahaba wenzako wazoefu watakupa mbinu za kisayansi.
 
Kwa kweli mleta maada mm naona ana chuki binafsi. Vitu anavyoviongea viko sahihi kabisa na ndio maana raia/wasikilizaji huwa na nafasi ya kuzungumzia jambo husika. Labda utuambie huo upotoshaji uliouona utuambie nini hasa uhalisia wake. Ukweli ubaki hivyo na tusiwe watu wa kukwepa mambo yaliyo wazi.
 
Mi naona KIBONDE ndo huwa anakera zaidi ya zembwela!unaweza zima radio akianza kujifanya anajua klla kitu mpaka kufikia kuwakemea wenzake wakimsahihisha!
 
Jipindi kipo poa sana. Anaongelea jamii na vituko vya mitaani. Saafiii. Mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…