Zembwela katika Super mix

Zembwela katika Super mix

Baada ya hicho kipindi kuhribika labda talk show iliyobaki ni ya fina mango magic jmosi....ila hicho ndo kilikuwa makin sasa hivi kimebaki makelele kidogo...mziki sana na matangazo.....inabidi wakiite kipindi cha MZIKI NA MATANGAZO
 
nampenda sana huyo jamaa na kipindi chake cha uswazi jumapili
 
Nnachojua kuhusu zembwela ni kuwa ni mtangazaji nnaemkubali sn kwa sbb ni miwazi sn.... ila nahisi ww unachuki binafsi au umetumwa na redio pinzani. Ushindwe na ulegee
 
povu ztawatoka sana nikiwaulza naweza kupata mwenye dip mmja2 unataka aseme nn achen donge alaaa
 
Zembwela sio mnafki anadiscuss wats on ground in black in white napenda sana kipindi chak sio biased for real,mimi nakupa big up zembwela
 
toka jana anakomaa na hospitali ya palestina. mlango ukifunguliwa unapiga kelele. we unamwona kituko ukisikiliza jumbe zinatotumwa super mix wapo wanaodiriki kusema anafaa kuwa raisi wetu. anavijua vituo vya mabasi kuanzia ubungo hadi morogoro.

hahahahaaaaaa mkuu nimecheka sana... kwa hiyo jamaa anafaa kuwa magogoni kisa anajua vituo vya mabasi?
 
Tatizo vyombo vya habari vinashindwa kuajiri wasomi kwa sababu ya kupenda mtelemko,wanaishia kuchukua makanjanja wa mtaani,pale alipo Zembwela sina uhakika kama ana mkataba wa ajira.
 
Huyu jamaa ninachompendea anazungumzia matatizo yanayoizunguka jamii hasa ya Mtanzania

Keep up my bro!

Acha mapovu yawatoke wanafiki wanaojifanya ni wageni ktk nchi hii!

ujuaji ukizidi huwa kero!!!!!

utangazaji has some manners and that dude am not so sure if he knows that

mapovu wala hayatutoki ila huo ndio ukweli!!!!!!!
 
Zimbwela ni mropokaji,na hana elimu ya kutosha na hakijui anchoongea,kila anachoongea huwa anaropika,ni moja ya watu wanaokariri na kufanyia kaz maneno ya vijiweni.cha ajabu anadhani ndo sifa kukashfu na kuongea habar za siasa nakati hata sheria hajui.kuna mwenzake anaitwa kibonde,sasa bora zembwela kibonde nahisi hata akili yake ni kama jina lake anajipendekeza kwa serikali ambayo hata haimjali.na kila kitu ye anapinga
 
Hivi ni kwa nini mnaendelea kusikiliza vipindi vinavyoongozwa na watu wapuuzi kama Zembwela, Kibonde, Hando, Shafi Dauda & likes?

Karibuni Wapo Radio Fm tuchambuwe mada motomoto kwenye meza ya busara na Sabinus Mbogo, jana nilisikiliza hicho kipindi cha Super Mix na niliapa kamwe sintosikiliza tena kipindi hicho kinachoongozwa na mtu mwehu asiye na akili ambaye anajihisi ni Genious kumbe kichwa maji matupu.

Kuna kijana alikuwa anatangaza na Zembwela jina nimemsahau na sasa amehama hapo East African radio, kwakweli huyu kijana alikuwa ni msaada mkubwa sana kwa Zembwela na alijitahidi sana kumshape lakini sasa hivi mambo ni shaghalabagala.

Imagine kijana wa miaka 30 eti anajiita Babu na badly analazimisha na yule binti anaetangaza naye aitwe Bibi, this is rubbish, i will never tune my radio kusikiliza upuuzi wa Zembwela.

Na ushahidi wa haya ninayoyasema Zembwela atafia EA radio au atafukuzwa muda wake ukifika lakini hana vigezo vya kuombwa na redio nyingine kuhamia kwao, wenye sifa hizo wanajulikana ni watu wa kariba ya Fredwaa aliyekuwaga Redio Free Africa.
 
Kwakweli nisipo sikiliza super mix najisikia kuumwa Zembwela yupo juu anasema ukweli panapo stahiri.
Siwezi kukushangaa maana hata yule ni mimiiiiii Goergeeeeeeeeee Maratooooooooooo wa Itveeeeeeeeeeeeeeeee, Musomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

Naye ana mashabiki wake wanaopenda style yake ya kijinga anavyoripoti.
 
ZEMBWELA ni mtu asiyefungamana na upande wowote ule, Sasa UYO aliyeta huu uzi anaweza akawa anasaport serikali iliyopo madarakani kwa maana ya CHAMA CHA MAGAMBA au akawa anasaport chama kikuu cha upinzani kwa maana ya CHAMA CHA MAGWANDA YA KAKI. Nitakutolea mifano juu ya watu wanavyomchukia zimbwela bila sababu kama huyo mleta uzi mf: mama yangu anasaport magamba kila akimsikiliza jamaa anavyoikosoa serikal huwa hapend kabisa na huwa anasema anashangazwa na watu wanaomlipa mshara zembela yaan anashinda kuanzia saa 3 mpaka saa 7 kupiga makelele na kucheka, mfano wa pili KIJANA MMOJA anaisaport CDM alimtumia sms zembelwa na kumuambia leo ndo umenifurahisha kuisifia cdm, na wengine wamekua wakimlaum kuongelea cdm katika mtazamo hasi hasa viongoz wake kama mnyika,mbowe na n.k . Mwisho Zembwela unamchango mkubwa sana kwa jamii endelea na hot mix kusaidia kufikisha matatizo ya jamii katika sehemu zinazousika unajua siku zote msema ukweli ndo yule ayechukiwa, anambiwa mlopokaj ,mnafik, mchochez na anaweza kufa mpema
 
Zembwela ni mtangazaji asiyefungamana na upande wowote ule, mleta nyuzi anaweza akawa anamchukia zembwela kwa kuwa yupo upande fulani ambao umekua ukikosolewa na huyu mwandishi , mleta mada inabidi atuambie yeye MAGAMBA DAMUNIIII AU MAKOMBATI YA KAKI DAMUNI , Mwisho zembwela usikate tamaa kwani msema ukweli ndo yule ambaye kwa HAPA TANZANIA, anakufa mapema, anaitwa majina mengi ya kushangaza kama mropokaji, mchochezi, mnafiki, mpiga makelele, mpinga maendeleo na n.k. CHUNGUZA KWA MAKINI WATU wanaomchukia zembwela, mf: mama anaisaporty magamba na huwa anasema hamuelew zembwela kazi anyofanya kisa tu huwa anaikosoa serikali, KIJANA mmoja wa hapa mtaan anaisaport CDM huwa hampendi jamaa kisa mara nyingi amekua na mtazamo hasi juu ya hiki chama hasa kwa viongoz wake Kama Mbowe , Mnyika Na N.k Sasa Mleta Uzi Tuambie Upoupande Gan MAGAMBA AU KAKI?
 
Baada ya hicho kipindi kuhribika labda talk show iliyobaki ni ya fina mango magic jmosi....ila hicho ndo kilikuwa makin sasa hivi kimebaki makelele kidogo...mziki sana na matangazo.....inabidi wakiite kipindi cha MZIKI NA MATANGAZO

Mkuu hiyo username yako ni Dr.kweli au ile ya kupewa kama Mkuu wa Kaya? Maana napata tabu kuelewa uwezo wako,,hao wadhamini ndio wanaoendesha hicho kipindi kwahiyo bila wao huwezi kumsikia Zembwela wa Irene.
 
Back
Top Bottom