Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
toka jana anakomaa na hospitali ya palestina. mlango ukifunguliwa unapiga kelele. we unamwona kituko ukisikiliza jumbe zinatotumwa super mix wapo wanaodiriki kusema anafaa kuwa raisi wetu. anavijua vituo vya mabasi kuanzia ubungo hadi morogoro.
Hillary Daudi Mtuta aka Zembwela ametoka mbali sana.Mhurumieni bure tu. Lazima afanye hivyo ili aishi mjini. Lakini,atakayetukanwa naye yu huru kumshtaki
Huyu jamaa ninachompendea anazungumzia matatizo yanayoizunguka jamii hasa ya Mtanzania
Keep up my bro!
Acha mapovu yawatoke wanafiki wanaojifanya ni wageni ktk nchi hii!
Siwezi kukushangaa maana hata yule ni mimiiiiii Goergeeeeeeeeee Maratooooooooooo wa Itveeeeeeeeeeeeeeeee, Musomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.Kwakweli nisipo sikiliza super mix najisikia kuumwa Zembwela yupo juu anasema ukweli panapo stahiri.
Baada ya hicho kipindi kuhribika labda talk show iliyobaki ni ya fina mango magic jmosi....ila hicho ndo kilikuwa makin sasa hivi kimebaki makelele kidogo...mziki sana na matangazo.....inabidi wakiite kipindi cha MZIKI NA MATANGAZO