Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Ukisoma sana unakua mjinga baada ya kuwa bora, yani katika kila kitu utaona ni vya kijinga kufanya mfano kujenga nyumba nzuri utaona ni ujinga kuwa na nyumba nzuri, kula utaona maharagwe yana faida kuliko nyama
 
Professor hajawahi kuwa chawa,hajafikia hatua ya kujidhalilisha kushobokea wanaume wenzie ili pesa ziingie,professa akipata mtoto wa kiume hajawahi lazimisha apewe jina la Boss wake ili kumfurahisha zaidi na kibarua kiendelee kudumu. Professor hajawahi kuwa mropokaji.

Mjini ni kujitoa akili ili uishi vizuri mitandaoni
 
Unamjua prof. Kabudi!
 
Back
Top Bottom