Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Watu mnadanganyana humu,huyo sijui Doto magari angekua na hizo pesa asingeshindwa kumpa mwanae just elfu 50 pekee ya matumizi kwa mwezi mpaka kaenda kudhalilishwa.
Usiende mbali sana Mkuu, waambie pesa haihitaji kelele wala attention. Ikiwepo mwenye nayo atakaa kimya, chawa ndio wataongea ongea hovyo.
 
Professor hawez kununua ticket ya ndege business class Dar-Mwanza
 
Mkuu utakuwa huyajui maisha ya wakufunzi wetu. Wengi wao maisha ni magumu sana ukilinganisha na baadhi ya vijana wanaopambana uraiani. Mshahara wa 2.7m kwa Mkufunzi msaidizi mpaka 5.5m kwa Profesa wa muda mrefu changanya na staili yao ya maisha wanatoboa lini? Mwijaku tu kawashinda wengi! Maisha ni mipango
 
PhD holders wanadhalilika
 
Maisha mazuri yanapimwa kwa vigezo gani? Hivi TZ kungekua na matajiri Kama Marekani nyie akina kabwela si mngetukana kila aliyeenda shule? Kila mtu ana nafasi yake hapa duniani na malengo yake. Huyo unayemsifia kuwa na maisha mazuri hata hujawahi kukaa naye meza moja ujue undani wa maisha yake.
 
Unamuongelea huyu Manara kaka yetu wa Mafia Kariakoo? huyu anaeishi kama digidigi? huyu ambae mpaka leo anapanga?
 
Mtoa mada unapaswa kujua kwamba hao akina manara, Zembwela sio kipimo cha mafanikio ya maprofesa.
Au umefanya tafiti kwingine dunian ukaona maprofesa wamefanikiwa kifedha kuliko watu wote wasio au wenye elimu ndogo?. Au hujui hata maraisi wenyewew wanazodiwa uchumi na wananchi wao je tuseme nawao hawajafanikiwa?.
 
Binafsi hilo spingi lakini swali ni je, hayo maisha ya watu maafuru ndo kiwe kipimo cha maproffesa wetu? Je waibe au wawe wasanii watelekeze taaluma zao ili wawe nambari moja kwa utajiri? Au sisi tunataka maisha yao yaweje yaan.
 
Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Yaani Kwa Akili yako Manara ana maisha mazuri? Au unalinganisha na umasikini wako! Manara huyu huyu? Nchi hii bado ina wajinga wengi sana
 
una maanisha unachosema ama una ushabiki wa Kisukuma?
 
una maanisha unachosema ama una ushabiki wa Kisukuma?
Yeah!ninamaanisha, coz hilo la celebrity mmoja mmoja kuwa na uchumi mkubwa kuliko wasomi sio jambo la kushangaza.Maana hata kwenye ngaz ya famjlia tuu unawezakuta mtoto ambaye hakusoma katoboa kuliko ambao wamesoma.
 
Yeah!ninamaanisha, coz hilo la celebrity mmoja mmoja kuwa na uchumi mkubwa kuliko wasomi sio jambo la kushangaza.Maana hata kwenye ngaz ya famjlia tuu unawezakuta mtoto ambaye hakusoma katoboa kuliko ambao wamesoma.
Kwani unaenda kusomea hela?
 
Prof Mohamed Janabi,
Boss wa hospitali ya Taifa MUHIMBILI na mshauri wa Rais.

Azidiwe maisha na maulidi kitenge, kweliii

Uwe na hela halafu uwe mtangazaji au Mc wa harusi kwelii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…