Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Usiende mbali sana Mkuu, waambie pesa haihitaji kelele wala attention. Ikiwepo mwenye nayo atakaa kimya, chawa ndio wataongea ongea hovyo.Watu mnadanganyana humu,huyo sijui Doto magari angekua na hizo pesa asingeshindwa kumpa mwanae just elfu 50 pekee ya matumizi kwa mwezi mpaka kaenda kudhalilishwa.