Bora mpoki mara mia! Huyo Zembwela hamna kitu...ameingilia fani asiyoiweza. Anatia kichefuchefu ukimsikiliza kwenye hiyo wanayoita supamix. Huyu jamaa inabidi akasome kwanza ndio arudi kutangaza, hana weledi kabisa kwenye utangazaji, amelazimisha. Sijui amelipwa fadhila na nani kwa kupewa hiyo kazi. Anaropoka tu! Anaongeaga vitu asivyovijua....uzalendo wa kinafiki. Kujifanya hapendi siasa huku akishabikia na kukipamba chama fulani na kukiponda kingine. Hataki siasa huku anaongozwa na wanasiasa na kuwalamba miguu...nyambafu kabisa!