Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Wakuu nani mkali kati ya hawa jamaa mana wote nawakubali haswa zembwela na maneno yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa Mzaramo wewe, au mswazi kupita maelezo, hao wote uliowataja kichwani hakuna kitu na hawawezi kukaa meza moja na watu makini, there a just uswazi comedian.Wakuu nani mkali kati ya hawa jamaa mana wote nawakubali haswa zembwela na maneno yake
Bora mpoki mara mia! Huyo Zembwela hamna kitu...ameingilia fani asiyoiweza. Anatia kichefuchefu ukimsikiliza kwenye hiyo wanayoita supamix. Huyu jamaa inabidi akasome kwanza ndio arudi kutangaza, hana weledi kabisa kwenye utangazaji, amelazimisha. Sijui amelipwa fadhila na nani kwa kupewa hiyo kazi. Anaropoka tu! Anaongeaga vitu asivyovijua....uzalendo wa kinafiki. Kujifanya hapendi siasa huku akishabikia na kukipamba chama fulani na kukiponda kingine. Hataki siasa huku anaongozwa na wanasiasa na kuwalamba miguu...nyambafu kabisa!