makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Aug 14, 2017 #21 bigmind said: Zembwela kichwa yule...! Tangie aache upuuzi wake wa kuchekesha naona aligain akili ikarudi Click to expand... Kitendo cha kumfanya mtu acheke ni akili kubwa pia.. Tycoon MAKAVELI Jr.
bigmind said: Zembwela kichwa yule...! Tangie aache upuuzi wake wa kuchekesha naona aligain akili ikarudi Click to expand... Kitendo cha kumfanya mtu acheke ni akili kubwa pia.. Tycoon MAKAVELI Jr.
Nimkimbilie nani JF-Expert Member Joined Nov 23, 2016 Posts 5,996 Reaction score 6,290 Aug 14, 2017 #22 Dragoon said: Hizi akili za kinyumbu shida kweli. Ukuu wa mkoa anapewa mtu sababu ya umaarufu na kuufahamu vizuri mkoa? kama vp wapewe waokota chupa na machinga basi. Click to expand... Hivi umemuelewa mleta mada kweli??
Dragoon said: Hizi akili za kinyumbu shida kweli. Ukuu wa mkoa anapewa mtu sababu ya umaarufu na kuufahamu vizuri mkoa? kama vp wapewe waokota chupa na machinga basi. Click to expand... Hivi umemuelewa mleta mada kweli??