Zembwela na ukuu wa mkoa!

Zembwela na ukuu wa mkoa!

Boogman

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
2,439
Reaction score
5,612
Hahahaaa hapana haijatangazwa popote wanajamvi Bali ni Mimi mwenyewe nimeamua kuwaza kwa sauti!
Sio siri huyu Zembela nimejaribu kumfatilia kwenye kipindi cha super mix East African Radio pia kipindi cha uswazi pale EATV nimegundua jamaa anaupeo mkubwa wa kupambanua mambo pia ni jamaa aliekulia kitaa hivyo jiji la Dar es salaam analijua nje ndan na shida za watu wake!
Pliz nisieleweke tofauti labda nampigia debe Zembela la hasha nawaza tu,laiti ingekua mm mkulu ningempa jamaa ukuu wa mkoa wa Dar es salaam.
Karibuni wanajamvi tufikiri pamoja kwa sauti...
 
Mwaka huu mkemia mkuu ataipima mikojo mpaka akome aiseeeee!!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hizi akili za kinyumbu shida kweli. Ukuu wa mkoa anapewa mtu sababu ya umaarufu na kuufahamu vizuri mkoa? kama vp wapewe waokota chupa na machinga basi.
Hahahahahahahahahahaha
etiiiii "Waokota chupa na Machinga"

bila kusahau na sisi makondakta wa daladala tunajua chochoro zoote za mji. lol.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Kanali MNALI yuko wapi jamani...........Magu angemfaa huyu.......!!!
 
Hahahaaa hapana haijatangazwa popote wanajamvi Bali ni Mimi mwenyewe nimeamua kuwaza kwa sauti!
Sio siri huyu Zembela nimejaribu kumfatilia kwenye kipindi cha super mix East African Radio pia kipindi cha uswazi pale EATV nimegundua jamaa anaupeo mkubwa wa kupambanua mambo pia ni jamaa aliekulia kitaa hivyo jiji la Dar es salaam analijua nje ndan na shida za watu wake!
Pliz nisieleweke tofauti labda nampigia debe Zembela la hasha nawaza tu,laiti ingekua mm mkulu ningempa jamaa ukuu wa mkoa wa Dar es salaam.
Karibuni wanajamvi tufikiri pamoja kwa sauti...
Ni wazo zuri tu, tatizo umelikuza/umelipanua sana...!!

Kwa nini hukufikiria apewe angalau Ukuu wa wilaya tu, tena wa Temeke..

Huku ndiko angalau kwa Elimu na huko unako msemea kuwa ana Upeo na uzoefu wa maisha ya Wana dalisalaam (waswahili walio wengi) angeweza kutendea haki mshahara atakao lipwa..

Sifa kubwa ambayo angekuwa nayo Mkuu wa Mkoa wa Dar (nawaza tu) angekuwa na Elimu ya juu ya Engineering, MUHANDISI wa Mipango Mji/Mwenye uwezo mkubwa wa kukaa na Kubuni,Kuchora na kuelekeza...

Tatizo linalo ukabili Mji/Jiji la Dar, ni Miundombinu, ujenzi holela (wa hovyo hovyo) na Uchafu uliokithiri....

Sifa ya kuondoa umasikini kwa Raia, sio kipaumbele katika Mji wenye mipango na Mazingira (miundombinu) bora kwa wananchi wake...

Umasikini ungalipo katika miji yote mikubwa duniani.

Sio Nairobi, Rio de Jeneiro, Capetown, London, Brussels na mingine mingi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom