Nimefanya application ya diploma in health training colleges
Tatizo linakuja kwenye kuweka matokeo ya advance..Matokeo yana onesha grade za ufaulu wangu bila kuonesha somo husika (yani wanaonesha tu C bila kuonesha C ni ya somo gani)
Tatizo hili ni kwangu tu au ni kwa wote???