Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu nasikiliza michezo EFM ,wajumbe wa kamati ya uchaguzi 4 wanataka akina malizi wasailiwe kwani Malinzi alituma barua na vyeti kupitia kwa makamu mwenyekiti.Lakini mwenyekiti amegoma kuwasili hali iliyopelekea kikao kuvunjikando nini ulichoandika asa na ww
mwenyekiti kaahilisha kikao lakini wajumbe wameendelea kuwasaili akina Malinzi bila uwepo wa mwenyekiti.ndo nini ulichoandika asa na ww
ndugu amini usiamini hakuna uchaguzi ,naona kabisa hii tume ya uchaguzi TFF ilipangwa uwabebe akina Malinzi,inavyoonesha hawa wajumbe 4 kesho na wao watabandika matokeo yao ya usahili mbali na yale ya mwenyekitiFigisu Figisu haziishi tu ndani ya shirikisho??
bora wadakwe usiku huu kabla zengwe halijawa kubwa.Hawa wajumbe ni watiifu kwa malinziWajumbe wamehongwa,
Kimsingi wanachofanya ni ili usaili uhairishwe ili ukifanyika siku ingine uweze kuwa -accommodate kina Malinzi,
PCCB wawadake hao wajumbe waeleze why wanataka kupindisha sheria,
Wajumbe wamehongwa,
Kimsingi wanachofanya ni ili usaili uhairishwe ili ukifanyika siku ingine uweze kuwa -accommodate kina Malinzi,
PCCB wawadake hao wajumbe waeleze why wanataka kupindisha sheria,
lakini mkuu tunaambiwa hawa jamaa wamepiga mpaka fedha tulizochanga a kuwapeleka serengeti Gabon,pia kuna maswala ya kufoji.TFF kunaweza kuwa na matatizo lakini hayaja anza leo,hata wakati wa Tenga mambo yalikuwa hivi hivi hasa wakati wa uchaguzi panajitokeza mizengwe ya ajabu sana, tatizo kuu ni ulaji sio kusaidia uendelezaji wa kandanda nchini, mambo mengi ni maigizo tu. Hivi tukijiuliza imekuwaje PCCB na vyombo vingine vya upelelezi ndiyo yanalivalia njuga suala la TFF at the eleventh hour miaka yote walikuwa wapi?
Mambo ya kuingiza fitna kwenye chombo kinacho simamia soka nchini siyo fresh hata kidogo - nguvu zote zinazotumika ni kutaka kumuengua Malinzi kwa nguvu hawataki agombee tena Uongozi kutokana na wivu tu, sasa Taasisi ya kuendeleza mpira Duniani/Afrika ambayo ndiyo ilitoa fedha za kuendeleza soka nchini ikija hapa na kusema wamefanya an independent uchunguzi na kugundua fedha zimetumika kihalali nyie au Wizara itasema nini kama hatutaonekana ni watu wa ajabu - nakumbuka miaka ya nyuma kuliwahi kutokea mizengwe za kumuengua jamaa fulani kwa fitina na uzushi mpaka taasisi ya kimataifa ya mpira ilipo ingilia kati ndiyo akaruhusiwa kugombea - ya Malinzi yanafuata mkondo huo huo.
1) Kwani Maghufuli anahangaika sasa kujaribu kurekebisha kila kitu walichoharibu wenzie miaka yote walikua wapi??Hivi tukijiuliza imekuwaje PCCB na vyombo vingine vya upelelezi ndiyo yanalivalia njuga suala la TFF at the eleventh hour 1) miaka yote walikuwa wapi?
Mambo ya kuingiza fitna kwenye chombo kinacho simamia soka nchini siyo fresh hata kidogo - 2) nguvu zote zinazotumika ni kutaka kumuengua Malinzi kwa nguvu hawataki agombee tena Uongozi kutokana na wivu tu, sasa 3)Taasisi ya kuendeleza mpira Duniani/Afrika ambayo ndiyo ilitoa fedha za kuendeleza soka nchini ikija hapa na kusema wamefanya an independent uchunguzi na kugundua fedha zimetumika kihalali nyie au Wizara itasema nini kama hatutaonekana ni watu wa ajabu - nakumbuka miaka ya nyuma kuliwahi kutokea mizengwe za kumuengua jamaa fulani kwa fitina na uzushi mpaka taasisi ya kimataifa ya mpira ilipo ingilia kati ndiyo akaruhusiwa kugombea - ya Malinzi yanafuata mkondo huo huo.
ngoja tusubiri tuonendugu amini usiamini hakuna uchaguzi ,naona kabisa hii tume ya uchaguzi TFF ilipangwa uwabebe akina Malinzi,inavyoonesha hawa wajumbe 4 kesho na wao watabandika matokeo yao ya usahili mbali na yale ya mwenyekiti
lakini mkuu tunaambiwa hawa jamaa wamepiga mpaka fedha tulizochanga a kuwapeleka serengeti Gabon,pia kuna maswala ya kufoji.
Mkuu siyo kwamba namtetea Malizi na kundi lake, ninacho tilia shaka ni timing - kwa nini tuhuma hizi zijitokeze kwa kasi kubwa wakati wa maadalizi wa uchanguzi - kwa nini kipindi chote cha Uongozi wa Malizi watu walikuwa wamekaa kimya, sikuwahi kusikia kwamba Polis/Upelelezi au PCCB amekwenda kuhojiwa na taasisi hizo - WHY NOW? Kwa maneno mengine kwa nini wahibuke na tuhuma lukuki at the eleventh HOUR??
Iweje taasisi zetu zizinduke kutoka kwenye usingizi wa pono na kumkaba koo Malizi na kundi lake wakati wakiwa kwenye maadalizi ya uchaguzi, hii kama sio mizengwe tuiteje - tukiendelea kuendesha taasisi ya kuendeleza soka nchini kama vyama vya siasa basi Tanzania itabaki wasindikizaji wa mataifa mengine kimpira - Watanzania majungu, fitina na wivu vimetuzidi sana.
Kwahiyo mtu anafoji na kuiba pesa huku soka tunazidi kushuka kiwango wewe unaona sawa tu?nadhani wewe ulijui soka na hata huna uchungu nalo utakuwa mshabiki wa bongo flava huku sio kwako mkuu.TFF kunaweza kuwa na matatizo lakini hayaja anza leo,hata wakati wa Tenga mambo yalikuwa hivi hivi hasa wakati wa uchaguzi panajitokeza mizengwe ya ajabu sana, tatizo kuu ni ulaji sio kusaidia uendelezaji wa kandanda nchini, mambo mengi ni maigizo tu. Hivi tukijiuliza imekuwaje PCCB na vyombo vingine vya upelelezi ndiyo yanalivalia njuga suala la TFF at the eleventh hour miaka yote walikuwa wapi?
Mambo ya kuingiza fitna kwenye chombo kinacho simamia soka nchini siyo fresh hata kidogo - nguvu zote zinazotumika ni kutaka kumuengua Malinzi kwa nguvu hawataki agombee tena Uongozi kutokana na wivu tu, sasa Taasisi ya kuendeleza mpira Duniani/Afrika ambayo ndiyo ilitoa fedha za kuendeleza soka nchini ikija hapa na kusema wamefanya an independent uchunguzi na kugundua fedha zimetumika kihalali nyie au Wizara itasema nini kama hatutaonekana ni watu wa ajabu - nakumbuka miaka ya nyuma kuliwahi kutokea mizengwe za kumuengua jamaa fulani kwa fitina na uzushi mpaka taasisi ya kimataifa ya mpira ilipo ingilia kati ndiyo akaruhusiwa kugombea - ya Malinzi yanafuata mkondo huo huo.
Dah!! Jinai haina muda mkuu. Ni wakati wowote mshtaki akijiridhisha unakwendaMkuu siyo kwamba namtetea Malizi na kundi lake, ninacho tilia shaka ni timing - kwa nini tuhuma hizi zijitokeze kwa kasi kubwa wakati wa maadalizi wa uchanguzi - kwa nini kipindi chote cha Uongozi wa Malizi watu walikuwa wamekaa kimya, sikuwahi kusikia kwamba Polis/Upelelezi au PCCB amekwenda kuhojiwa na taasisi hizo - WHY NOW? Kwa maneno mengine kwa nini wahibuke na tuhuma lukuki at the eleventh HOUR??