Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Yule hakimu upo uzi wake humu JF, ni mla rushwa wa kutukuka !Ndiyo maana nasema TFF kuna a deep seated tatizo pale, si bure!! Wataendelea kubadirisha badirisha Uongozi kama nuts za kuunganisha mashine lakini hakuna lolote litakalo badirika - Wizara ndiyo inapaswa kuajiri Director/Manager wa kusimamia kitengo hicho - huo ndio unaweza kuwa ni mwarobaini wa kukomesha matatizo sugu ya Uongozi wa TFF.