Zengwe zito uchaguzi TFF

Zengwe zito uchaguzi TFF

Ndiyo maana nasema TFF kuna a deep seated tatizo pale, si bure!! Wataendelea kubadirisha badirisha Uongozi kama nuts za kuunganisha mashine lakini hakuna lolote litakalo badirika - Wizara ndiyo inapaswa kuajiri Director/Manager wa kusimamia kitengo hicho - huo ndio unaweza kuwa ni mwarobaini wa kukomesha matatizo sugu ya Uongozi wa TFF.
Yule hakimu upo uzi wake humu JF, ni mla rushwa wa kutukuka !
 
Hivi pesa za tff sio za umma kweli.......
Kwa nn ikibainika watu km malinzi wasipigwe risasi km wafanyavyo China ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia km hiyo
Apigwe mama yako na baba yako mshenzi mkubwa we
 
Kwani uchaguzi mkuu wa 2015 Bw.Malinzi alikuwa upande gani vilee?
 
Back
Top Bottom