Zeppelin ikiwa juu ya anga la Berlin 1915

inside-hindenburg-zeppelin-luxury-interior-vintage-photographs-34-5c6ac461a4396__700.jpg
 
Nitajie nchi moja Tu ya Africa ambayo haina upungufu wa hivi vitu ulivyo orodhesha,unazungumzia miaka 60 unaona mingi
Kwa hiyo yard stick yako ni Africa!
Hili ni bara la Giza!
Hebu tafakari ...ktk nchi amabayo Kuna watoto wanasomea sakafuni vumbini ...hapo Kuna Mkurugenzi was Halamshauri na Dc wanamaga4i yenye thamni yzaidi ya Milioni 600,hapa haatujajumuisha gari za Idara zingine..
Huoni kuwa Tupo kwenye Bara laGiza!
 
Kama unajua ni bara la Giza huna haja ya kushangaa hayo unayo ya shangaa,sanasana Mimi nitakushangaa wewe
 
Kwa hiyo yard stick yako ni Africa!
Hili ni bara la Giza!
Hebu tafakari ...ktk nchi amabayo Kuna watoto wanasomea sakafuni vumbini ...hapo Kuna Mkurugenzi was Halamshauri na Dc wanamaga4i yenye thamni yzaidi ya Milioni 600,hapa haatujajumuisha gari za Idara zingine..
Huoni kuwa Tupo kwenye Bara laGiza!
Baada ya kutawaliwa na wakoloni kwa muda mrefu tumepoteza leadership skills.
 
Wajerumani ni next level

Ndio maana wajuvi wa Mambo wanasema isingekuwa WWI ujerumani kuondolewa Tanganyika Basi tungekuwa zaidi ya nnchi Kama south Africa au pakstani.
Wakatili sana wale mabeberu...sidhani kama wangeijenga Tanganyika.
 
Nitajie nchi moja Tu ya Africa ambayo haina upungufu wa hivi vitu ulivyo orodhesha,unazungumzia miaka 60 unaona mingi
Mpaka Israel inaadhimisha miaka 60 ya uwepo wake yaani mwaka 2008 ilikuwa ina maendeleo ya kiuchumi sawa na nchi kama Ureno, Hispania ila kwa Tz miaka 60 bado majanga tu.
 
Zilikuwa zinatumia hydrogen, gesi inayolipuka. Baada ya kugundua hilo wakaanza kutumia helium, inert gas. Kuna picha moja maarufu sana ya zepellin likilipuka wakati wa kuweka nanga huko Ujerumani.
 
Wakatili sana wale mabeberu...sidhani kama wangeijenga Tanganyika.
Mkuu mbona walijenga reli Dar jadi Kigoma. Pia wakatuletea na Mv Liemba tunatotumia hadi leo. Muingereza ndiyo hakujishughulisha kabisa na kuijenga Tanzania. Kwanza hakuhesabu kama koloni lake, walikuwa wanatubabysit tu kwa muda.
 
Upo sahihi kiasi lakini kitendo alichokifanya kule Namibia ambacho ni sawa na genocide dhidi ya waherero inathibitisha ukatili wao, hivyo kusema wangejenga Tanganyika ni ngumu kuamini.
 
Mkuu mbona walijenga reli Dar jadi Kigoma. Pia wakatuletea na Mv Liemba tunatotumia hadi leo. Muingereza ndiyo hakujishughulisha kabisa na kuijenga Tanzania. Kwanza hakuhesabu kama koloni lake, walikuwa wanatubabysit tu kwa muda.
Muingereza alikuja kuchota utajiri wa Tanganyika tu, katika vitu ambavyo ninawasifu Waingereza ni ujuzi wa utawala. Waliweza kutawala 3/4 ya Afrika baada ya kumtoa Mjerumani.
 
Hawa jamaa ukiangalia maendeleo yao ukifikiria waliwezaje kufikia hapo na ss huku tulivyokua kipindi hicho unaweza kudhan hawa sio binadam wa kawaida
 
Back
Top Bottom