Zero IQ ni mtu muelewa sana ila anapenda nini kingine zaidi ya ngono?

Huwenda,
Maana yeye hakwamagi kabisa kimaisha, yeye ni mwendo wa kutoa mada za maujuzi ya kimaisha kila siku.

Anaonekana anaakili kubwa ya maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu zile hasoling nilizopitia na ndugu yangu magu hataki tukale wote keki ya taifa tena kwa kozi pendwa ya Afya nikaona no sweat wacha nipapambane kitaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waswahili husema

"UKINIJADILI UMENIKUBALI"

hivyo

Bwana zero iq tunakukubali Sana ndio maana tunakujadili.

Endelea hivo hivo Kaka mkubwa

Nkija dodoma ntakuchek hapo.. pia Kuna demu wangu flan hiv koloni la zamani

By: mzee wa kasumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika mkuu ukija tu dodoma nicheki nikupeleke chimbo za mademu wenye chura nicheki PM tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijinga hiki KIMETUMIA ID nyingine kujitafutia Kick. Pumbavu kabisa. Shule ikianza kuwa ngumu tutabaki watu wazima tu humu ndani. Au ukienda kusoma english course

 
Kijinga hiki KIMETUMIA ID nyingine kujitafutia Kick. Pumbavu kabisa. Shule ikianza kuwa ngumu tutabaki watu wazima tu humu ndani. Au ukienda kusoma english course
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nacheka kwa dharau kama ata ID ya Suriya hauijui ni ya mwaka gani?

Pia tofautisha ata miandiko tu kama kweli we ni great thinker na sio popoma kama GENTAMYCINE(jokes)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…