Zero IQ ni mtu muelewa sana ila anapenda nini kingine zaidi ya ngono?

Zero IQ ni mtu muelewa sana ila anapenda nini kingine zaidi ya ngono?

Huwenda,
Maana yeye hakwamagi kabisa kimaisha, yeye ni mwendo wa kutoa mada za maujuzi ya kimaisha kila siku.

Anaonekana anaakili kubwa ya maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu zile hasoling nilizopitia na ndugu yangu magu hataki tukale wote keki ya taifa tena kwa kozi pendwa ya Afya nikaona no sweat wacha nipapambane kitaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waswahili husema

"UKINIJADILI UMENIKUBALI"

hivyo

Bwana zero iq tunakukubali Sana ndio maana tunakujadili.

Endelea hivo hivo Kaka mkubwa

Nkija dodoma ntakuchek hapo.. pia Kuna demu wangu flan hiv koloni la zamani

By: mzee wa kasumba

Hakika mkuu ukija tu dodoma nicheki nikupeleke chimbo za mademu wenye chura nicheki PM tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijinga hiki KIMETUMIA ID nyingine kujitafutia Kick. Pumbavu kabisa. Shule ikianza kuwa ngumu tutabaki watu wazima tu humu ndani. Au ukienda kusoma english course

Wakuu mimi toka nianze kuona nyuzi za Zero IQ nimeona ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa fikra...
Ila swali langu ni kwamba mbali na ngono yeye hupenda kitu gani kingine? Mbali na kazi za kumuingizia kipato???

Niulize hivi Zero IQ angeumbwa Demu hadi sasa angekua katembea na wanaume wangapi?
Tuache idadi ya wanaume, niulize angekua analiwa papuchi mala ngapi kwa siku???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijinga hiki KIMETUMIA ID nyingine kujitafutia Kick. Pumbavu kabisa. Shule ikianza kuwa ngumu tutabaki watu wazima tu humu ndani. Au ukienda kusoma english course
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nacheka kwa dharau kama ata ID ya Suriya hauijui ni ya mwaka gani?

Pia tofautisha ata miandiko tu kama kweli we ni great thinker na sio popoma kama GENTAMYCINE(jokes)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom