GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nacheka kwa dharau kama ata ID ya Suriya hauijui ni ya mwaka gani?
Pia tofautisha ata miandiko tu kama kweli we ni great thinker na sio popoma kama GENTAMYCINE(jokes)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Wewe huna taarifa kwamba ' ID's ' zote za hapa JamiiForums ni zangu Mimi GENTAMYCINE kwa mujibu wa ' Members ' wengi hapa Jamvini / Jukwaani?