Umekosea hapo kwenye red,andika nibadilike.Zero IQ nimekosea wapi mwaka huu naomba unichane hapa ili nione makosa yangu na nibadirike ikibidi mwaka mwingine ukianza.
Hahahahaha hapana mkuu wewe ni zaidi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Unataka kusema nina undugu na jiwe
Siyo uache,tatizo unawala kwa mpigo![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kwa hiyo unataka niache mkuu?
Acha tabia ya kuwala kwa mpigo!Basi kuanzia mwakani nitawala kidogo kidogo mkuu