Zero IQ nimekosea wapi mwaka Huu

Zero IQ nimekosea wapi mwaka Huu

Zero IQ nimekosea wapi mwaka huu naomba unichane hapa ili nione makosa yangu na nibadilike ikibidi mwaka mwingine ukianza.

Ulitumia sana Tigo kwa ama Kupiga ( kuingiza namba ) au Kupigiwa ( kuingiziwa namba ) na ukasahau Vodacom, Airtel na TTCL.
 
Ulitumia sana Tigo kwa ama Kupiga au Kupigiwa na ukasahau Vodacom, Airtel na TTCL.
Nitake Radhi mkuu mimi ndio nilikuwa muumini mkubwa wa kupiga marufuku kutumia mtandao pendwa wa tigo mwaka huu ila wewe mkuu Genta na Gudume ndio watumiaji wakubwa sana.
 
Mi ntumie number tu za machangu hapo nitashukuru mende mwenzangu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ukuje tu Pm zipo kibao ila mwaka ukianza Nafuta zote naanza upya
 
Nitake Radhi mkuu mimi ndio nilikuwa muumini mkubwa wa kupiga marufuku kutumia mtandao pendwa wa tigo mwaka huu ila wewe mkuu Genta na Gudume ndio watumiaji wakubwa sana.

' Shikamoo ' sana Mkuu!
 
Hakuna Vocha zozote labda za ' Tigo ' ulizozibakisha kwa mwaka huu Mkuu?
Vocha za tigo zipo ila kila nilipotaka kujaribu kuzikwangua ili niingize Roho ilikuwa inasita na kuniambia tumia tu mtandao wa voda,Tigo itakupeleka motoni.

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom