ZEZETA imedhihirisha Rayvanny anabebwa na MISIFA tu na KISMATI. Ni ngoma mbovu balaa

Ukweli mm sijawahi kumwelew huyu jamaa na nashangaaga sana wanapomlinganisha na harmonize.....harmonize hajawai toa ngoma mbovu hata siku moja kila ngoma akitoa ni hit song lkn rayvanny ngoma moja tu ambayo ilihiti ambayo ni kwetu lkn iz zote zilizobaki ni flop song kama nn
 
Huyu jamaa sifa nyiingi, ila kiukweli watu wanasema Harmonize anamuiga Domo lakini jamaa yule very serious kwenye kazi na ngoma zake zote ni serious, kali na hit songs. Siyo mtu wa zimamoto kabisa
 
Mbona nyimbo mzuri, huo mtizamo wako, usilazimishe kila mtu afikiri kama utakavyo ww na sio lazima wote tufanane , mimi naupa 7/10.
Duuh, masikio yako labda yana matege mkuu
 
Chuki za kukosa Kitonga au ganda la ndizi kuiona party ya jana ya 90's leo umeamkia huku? Bure zitawagharimu sana
 
Chuki za kukosa Kitonga au ganda la ndizi kuiona party ya jana ya 90's leo umeamkia huku? Bure zitawagharimu sana
Nani kakwambia kila mtu ni mtu wa party ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…