Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa sifa nyiingi, ila kiukweli watu wanasema Harmonize anamuiga Domo lakini jamaa yule very serious kwenye kazi na ngoma zake zote ni serious, kali na hit songs. Siyo mtu wa zimamoto kabisaUkweli mm sijawahi kumwelew huyu jamaa na nashangaaga sana wanapomlinganisha na harmonize.....harmonize hajawai toa ngoma mbovu hata siku moja kila ngoma akitoa ni hit song lkn rayvanny ngoma moja tu ambayo ilihiti ambayo ni kwetu lkn iz zote zilizobaki ni flop song kama nn
Chuki za kukosa Kitonga au ganda la ndizi kuiona party ya jana ya 90's leo umeamkia huku? Bure zitawagharimu sanaHabari wadau wa Celebrities !!.
Leo nataka nimzumgumzie huyu msanii ambaye amekuwa akipewa sifa nyiiingi kwamba ana uwezo mkubwa, kwa kumsikiliza leo Ngoma zake zote ukiacha KWETU ni mbovu balaa.
1. SUGU ( Mbovu), ZEZETA ( Mbovu ), & SALOME ( Umeshirikishwa umeimba MATUSI balaa ). Somehow PENZI, SHIKWAMBI na MBELEKO ni ngoma nzuri japo hujazitoa serious.
- Mbona mwenzio HARMONIZE kila akitoa ni NGOMA Kali na ni mtu yuko serious sana ukiona kazi zake
2. AIYOLA, INDE, BADO, NIAMBIE, PENZI, KIDONDA CHANGU, SHOW ME & HAPPY BIRTHDAY - Ngoma zote "HITS"
- Rayvanny kuwa serious tumekuchoka, kwanza huo wimbo wako wa ZEZETA ni mbovu na MELODY utafikiri umetungiwa na BEKA wa YAMOTO BAND, Ngoma mbovu - umebakiza SIFA na MBWEMBWE tu.
Fanya kazi, Sifa unazopewa zimekuharibu. Hauko SERIOUS na unatunga NGOMA Mbaya balaa, Ulivyotoa NATAFUTA KIKI kama ngoma ya ZIMA MOTO ikahit ni kama imekuwa trend sasa ya kufanya ngoma kwa zimamoto. Shiit