Sijazungumzia mashindano( ingawa yapo hata kama unalazimisha iwe vinginevyo, biashara siku zote ni ushindani ) hapa mimi ninajaribu kuzungumzia SERIOUSNESS iliyopo, kumbuka sisi ndio wateja na ndio wenye masikio ya kusikia ubora wa bidhaa husikawe mchawi mkuu
kwani anashindana na harmonise?
au yuko mwanamuziki huyo tu, sikiliza wengine
au una mkataba nae? ushamlipa kutoa nyimbo?
Mimi ni mshabiki mkubwa sana wa WCB ila jamaa sifa anazopewa ameshindwa kuzitendea haki kabisa, yaani tangu atoe KWETU kama serious project ndo basi tena hakuna jipya tenaMi ni mdau mkubwa sana wa huyu dogo lakini leo nakuunga mkono mtoa mada....Hivi huyu dogo sijui anashauriwaga na nani kabla ya kutoa nyimbo zake...Yaaan zile nyimbo zake nzuri azipi uzito na hazitoi officially.....minyimbo mibaya mibaya ndo anaifanyia media tour.....hii zezeta hamna kitu....yaan kaboronga tuuu,melody mbaya,beat mbayaaaa,video imepoaaaa...yaaan ameimba kizezeta kweli...
Hivi unaachaje kuipa promo na kuirelease officially nyimbo kama Mbeleko?? bora hata ange release nyimbo yake ya 'unaibiwa' kuliko hii ya zezeta, nyimbo mbayaaaaaaa!!!
Sasa anaingizaje hela kama wateja hawajapenda bidhaa yake ?Iv nyie watu mnaowah kuanzisha thread za namna kuponda tu wakati mtu anakuzid maisha na kila kitu ndo kusema mnatafuta views JF ambazo hata haziingiz hela mwenzenu huko utube mshamchangia pesa, ujinga sana huu
dogo nae anatoaga nyimbo ambazo hazina mashiko sasa kama sugu mbeleko natafuta kiki na hii.zezeta hakuna jipya harmonize Kali Anglia hizi nyimbo mbili ambazo so official ila kaliHabari wadau wa Celebrities !!.
Leo nataka nimzumgumzie huyu msanii ambaye amekuwa akipewa sifa nyiiingi kwamba ana uwezo mkubwa, kwa kumsikiliza leo Ngoma zake zote ukiacha KWETU ni mbovu balaa.
1. SUGU ( Mbovu), ZEZETA ( Mbovu ), & SALOME ( Umeshirikishwa umeimba MATUSI balaa ). Somehow PENZI, SHIKWAMBI na MBELEKO ni ngoma nzuri japo hujazitoa serious.
- Mbona mwenzio HARMONIZE kila akitoa ni NGOMA Kali na ni mtu yuko serious sana ukiona kazi zake
2. AIYOLA, INDE, BADO, NIAMBIE, PENZI, KIDONDA CHANGU, SHOW ME & HAPPY BIRTHDAY - Ngoma zote "HITS"
- Rayvanny kuwa serious tumekuchoka, kwanza huo wimbo wako wa ZEZETA ni mbovu na MELODY utafikiri umetungiwa na BEKA wa YAMOTO BAND, Ngoma mbovu - umebakiza SIFA na MBWEMBWE tu.
Fanya kazi, Sifa unazopewa zimekuharibu. Hauko SERIOUS na unatunga NGOMA Mbaya balaa, Ulivyotoa NATAFUTA KIKI kama ngoma ya ZIMA MOTO ikahit ni kama imekuwa trend sasa ya kufanya ngoma kwa zimamoto. Shiit
Unaweza mtungia yeye akaimbaMimi na shabiki au na mashabiki nao wanatakiwa kuimba siku hizi
Jamaa anajua lakini mwenendo wake wa utoaji wa ngoma unasikitisha, kama ana ngoma 5 kichwa cha kutunga kimeshachoka atafikisha hata ngoma 10 kali kweli ?Binafsi namkubali sana Raymond ila kiukweli nyimbo zake za hivi karibuni kama sizielewi vile!
Hii ya zezeta ndio ameniacha kabisa,ila napenda sana freestyle yake!
Yupo njema sana