ZEZETA imedhihirisha Rayvanny anabebwa na MISIFA tu na KISMATI. Ni ngoma mbovu balaa

ZEZETA imedhihirisha Rayvanny anabebwa na MISIFA tu na KISMATI. Ni ngoma mbovu balaa

Ushamuongezea viewers, mana ilinibd nikauangalie U-tube na nishasubscribe.
Wala hilo siyo tatizo, ila tatizo ni kwamba anakatisha tamaa mashabiki wake - mtu akishakuwa disappointed hata siku akisikia una project mpya anapuuza anajua utampotezea tu muda
 
huyu jamaa hatakua hana toka tiptop ndiye aliye changia asitoke mpaka alipo kwenda wcb
 
wew sema humpendi kwa sababu zako na nyimbo zake huzipendi. kw sababu zako
 
Rayvanny anajua sana kuimba sanaaa....!!! kwa fikra zangu zinitumavyo atakua bonge moja la msanii Africa,, kama tu., ataendelea tu kutunga tungo zenye hadhi kama wimbo wa SALOME ,,, Kwa ule utunzi asee alitisha ( Mond mwenyewe alikaa) ., Ni nyimbo ya mapenzi lkn bado cjaona nyimbo yeyote inayofkia utunzi ule,, aliimba pafupi lkn tung zile zimesimama utadhan kaimba nyimbo nzima...!!

Kipaji cha utunzi na kuimba anacho tena kikubwa..,, Aaache kutunga pumba ka huu wimbo wa ZEZETA,, Hapo kafeli siwez kua mnafki..!!
 
Exactly. Na hapo inashangaza maana kama hata nyimbo 10 hajafikisha utunzi umekuwa hiyo je atamudu nyimbo kali hata 10 kweli
 
kila mtu na mtizamo wake... mtoa thread umeyumia lugha nzito na very disapointed and discouraged... maneno yako yanaonesha chuki dhahiri

"
 
kila mtu na mtizamo wake... mtoa thread umeyumia lugha nzito na very disapointed and discouraged... maneno yako yanaonesha chuki dhahiri

"
Jamaa kanidisappoint sana
 
mi pia sikutegemea but mi nampa muda... anaeza kubadilika...he is not serious na sijui kwanini
 
kweli kila mtu na usikivu wake, mie nimeukubali sana huu wimbo tena katika ngoma zake zoote alizowahi kuzitoa huu ndo umenibamba kiukweli, na video yake pia nimeipenda haina shangwe.cool video.
 
msamehe bure yuko analea kale katoto kalichozaa mtoto!! dizaini umakini umepungua.
 
Habari wadau wa Celebrities !!.

Leo nataka nimzumgumzie huyu msanii ambaye amekuwa akipewa sifa nyiiingi kwamba ana uwezo mkubwa, kwa kumsikiliza leo Ngoma zake zote ukiacha KWETU ni mbovu balaa.

1. SUGU ( Mbovu), ZEZETA ( Mbovu ), & SALOME ( Umeshirikishwa umeimba MATUSI balaa ). Somehow PENZI, SHIKWAMBI na MBELEKO ni ngoma nzuri japo hujazitoa serious.

- Mbona mwenzio HARMONIZE kila akitoa ni NGOMA Kali na ni mtu yuko serious sana ukiona kazi zake

2. AIYOLA, INDE, BADO, NIAMBIE, PENZI, KIDONDA CHANGU, SHOW ME & HAPPY BIRTHDAY - Ngoma zote "HITS"

- Rayvanny kuwa serious tumekuchoka, kwanza huo wimbo wako wa ZEZETA ni mbovu na MELODY utafikiri umetungiwa na BEKA wa YAMOTO BAND, Ngoma mbovu - umebakiza SIFA na MBWEMBWE tu.

Fanya kazi, Sifa unazopewa zimekuharibu. Hauko SERIOUS na unatunga NGOMA Mbaya balaa, Ulivyotoa NATAFUTA KIKI kama ngoma ya ZIMA MOTO ikahit ni kama imekuwa trend sasa ya kufanya ngoma kwa zimamoto. Shiit
Kazi unayo harmonize weye loh sio kwa hasira hizo
 
Back
Top Bottom