Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu?

Kwa hiyo jamaa alikuwa kama ndege inayotaka kutua kwenye runway ambayo iko busy, wakawa wanamwambia zunguka zunguka angani kwanza huku mwingine akapelekwa Tanga.
 
Nikiunganisha hii kitu na story ya juzi ya CDF mstaafu ndio ninapata picha hizi:
1. Mzee alikata moto mapema sana ila tulifichwa kimakusudi.
2. Kulikuwa na internal struggle za kukichukua kiti cha urais kinyume na katiba.
3. Mama yetu alikuwa anyang'anywe tonge mdomoni na wajanja wa CCM.
4. Huenda PM na Speaker ndio walikuwa vinara wa kuchonga barabara ya kukikamata kile kiti kiulaini.

Lishukuriwe jeshi kwa kujizuia kuingia tamaa, upongweze JK kwa kucheza karata zake vyema za kikuda, apigiwe makofi Lissu kwa kukubali kutumbua jipu na alaumiwe Jiwe kwa kugeuza nchi yetu kuwa ni mali yake na genge lake.
 
wapangwa wanataka kumfanya nini PM wetu, watulie mambo yakae sawa..atarudi tu huko
 

Audit report
 
Tarehe hizi ndio mambo yalikuwa hayaeleweki.
 
Tarehe hizi ndio mambo yalikuwa hayaeleweki.
Kipindi kile nyakati kama hizi taifa lipo kwenye taharuki , moja haikai mbili haisomi!
Ila tunamshukuru Mungu tulivuka japo kwa gharama kubwa.
 
Kipindi hiko anakuwa fixed πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…