Tarehe 5 September, 1990 Baba Mtakatifu Yohane Paulo wa Pili (II) na Rais wa Vatican alitembelea Jimbo Kuu Katoliki la Moshi. Hakika ndugu waumini (nikiwemo) tulibubujikwa na machozi ya furaha.
Ni wakati sasa Baba Mtakatifu Francis atembelee tena Jimbo Kuu na Kanisa Kuu la KRISTO MFALME kuona maendeleo yaliyofanyika Jimbo Kuu.
Ni wakati sasa Baba Mtakatifu Francis atembelee tena Jimbo Kuu na Kanisa Kuu la KRISTO MFALME kuona maendeleo yaliyofanyika Jimbo Kuu.