Hakika Kabisa Katoliki nchini limejikita sehemu zenye neema tu Kilimanjaro na Kagera. Lindi watasubiriWewe ndiwe Petro na Juu ya Mwamba huu nitalijenga Kanisa langu 😀😀🌹
Kwanza, dunia ilitambua KIlimanjaro ilipo na ukubwa wa Kanisa Katoliki kule.Sasa huyo papa akija wewe unanufaika vipi financially? tuanzie hapo
Na ww ulikuwa miongoni ya wafanya biashara?Kwanza, dunia ilitambua KIlimanjaro ilipo na ukubwa wa Kanisa Katoliki kule.
Pili, wafanyabiashara Moshi waliuza bidhaa nyingi kutokana na ujio wa Baba Mtakatifu.
Anakuja kuwadrain vishiringi vyao masikini hawa wa mali na akili😭Sasa huyo papa akija wewe unanufaika vipi financially? tuanzie hapo
Wewe unavyowachangia CCM tozo kila unapofanya muamala unafaidika na nini financially?Sasa huyo papa akija wewe unanufaika vipi financially? tuanzie hapo
Huo mstari mliuuchukua bila kuelewa nikikuelewesheni maana ya huo mstari hakika mtajiona wajinga wa Maandiko semaWewe ndiwe Petro na Juu ya Mwamba huu nitalijenga Kanisa langu 😀😀🌹
Tarehe 5 September, 1990 Baba Mtakatifu Yohane Paulo wa Pili (II) na Rais wa Vatican alitembelea Jimbo Kuu Katoliki la Moshi. Hakika ndugu waumini (nikiwemo) tulibubujikwa na machozi ya furaha.
Ni wakati sasa Baba Mtakatifu Francis atembelee tena Jimbo Kuu na Kanisa Kuu la KRISTO MFALME kuona maendeleo yaliyofanyika Jimbo Kuu.