Ziara ya BAVICHA Magereza yaanza kuzaa Matunda. Mahakama ya Songwe yamuachia huru Moses Mwaifunga aliyesoteshwa jela kwa miezi 5

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426

Moses Mwaifunga ni miongoni mwa vijana lukuki wa Chadema waliobambikwa kesi za uongo karibu nchi nzima , huyu alipewa kesi ya kutunga na ya uongo ya mauaji ili kumkomoa kwa sababu za kisiasa.

Sasa baada ya ziara ya viongozi wa Bavicha Taifa kwenye Magereza za Mbeya na Songwe za kuwajulia hali wafungwa hao wa kisiasa ambao wako zaidi ya 100 , leo Mahakama imemwachia huru Mwaifunga bila masharti yoyote .

Tahadhari : Wale wote waliotumika kutengeneza kesi hizi za uongo ili kumfurahisha aliyewatuma wajiandae , Mungu hataniwi .
 
Kuna maelfu ya Kesi za kubambika Mwendazake aliifanya hii Nchi kama Kongo ya Mobutu

Dikteta aliyetawala kwa muda mfupi kuliko wote John Joseph Desiree Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…