Ziara ya Kihongosi imeingia doa, wakurugenzi wa halmashauri na wafanyabiashara wapaza sauti

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
640
Reaction score
1,517
Wakuu,

Ziko taarifa kuwa ziara ya Kihongosi inayoendelea inaacha maumivu makubwa kwa wananchi na wafanyabishara ambapo kwa upande wa Wakurugenzi wanalazimishwa kutoa fedha nyingi kwa ajili ya Kihongosi ambapo fedha hizo zilishapangwa kwenye bajeti za halmashauri kujenga zahanati, matundu ya vyoo na madawati hivyo wanafunzi wanalazimika kukaa chini kukosa madawati fedha zinapelekwa kwa ziara ya Mwenezi.

Wafanyabiashara nao wanalia kuchangishwa mamilioni ya fedha kwa ajili ya kufadhili mikutano hiyo ambapo inadaiwa ziara hiyo inatumia gharama kubwa kugharimia msafara mkubwa wa magari, kulipa posho timu aliyonayo kutoka Dodoma.

Pia fedha hizo zinatumika kugharamia posho za watu wanaokuja kumsikiliza ambapo kwa kina cha chini inadaiwa kila mwanachama anayehudhuria mkutano analipwa shilingi 20,000 ili angalau kuweza kupata picha nzuri za kuwahadaa mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini kuwa CCM bado inaungwa mkono na kujaribu kutaka kuhalalisha ushindi wa 98%.
 
Tukaribisheni na siye wapiga kula wenu.Ama baada ya kula mmeshatusahau na kututupa jalalani?
 
Safi sana wafanyakazi wa halmashauri.

Walipueni tu.

Wamzoea sana, hizo ziara za chama zina bajet yake kwa kila jambo.

Wanavyotaka halmashauri zitoe hela huwa wanaelewa kweli bajet.?

Ama ndo unakuta ujenzi wa daraja 80mln, lakini daraja halipo
 
Wakuu,

Ziko taarifa kuwa ziara ya Kihongosi inayoendelea inaacha maumivu makubwa kwa wananchi na wafanyabishara ambapo kwa upande wa Wakurugenzi wanalazimishwa kutoa fedha nyingi kwa ajili ya Kihongosi ambapo fedha hizo zilishapangwa kwenye bajeti za halmashauri kujenga zahanati, matundu ya vyoo na madawati hivyo wanafunzi wanalazimika kukaa chini kukosa madawati fedha zinapelekwa kwa ziara ya Mwenezi.

Wafanyabiashara nao wanalia kuchangishwa mamilioni ya fedha kwa ajili ya kufadhili mikutano hiyo ambapo inadaiwa ziara hiyo inatumia gharama kubwa kugharimia msafara mkubwa wa magari, kulipa posho timu aliyonayo kutoka Dodoma.

Pia fedha hizo zinatumika kugharamia posho za watu wanaokuja kumsikiliza ambapo kwa kina cha chini inadaiwa kila mwanachama anayehudhuria mkutano analipwa shilingi 20,000 ili angalau kuweza kupata picha nzuri za kuwahadaa mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini kuwa CCM bado inaungwa mkono na kujaribu kutaka kuhalalisha ushindi wa 98%.
Yaani umbea ungekuwa unalipa ,hakika ungekuwa mbali sana
 
Ccm ilishawafanya wafanyabiashara wa nchi ni shamba la bibi sio, sasa ni mda kwa wafanyabiashara ,kukataa, ukandamizaji huu, ikiwezekana wahamishe mitaji yao ,wa baki na vioski tu , tz ,mitaji peleka huko Zambia n.k ,

Siku zikiepo sera nzuri mtarudisha mitaji yenu. Yani watu walipe kodi TRA ,achana na maushuru mengine ,bado ati chama flani kiwakalie juu na michango isiyokia na tija.

Wao wanajua maana ya biashara ilivyongumu au kazi kutembelea v8.
Nchi ipo pabaya sana hii
 
Wakuu,

Ziko taarifa kuwa ziara ya Kihongosi inayoendelea inaacha maumivu makubwa kwa wananchi na wafanyabishara ambapo kwa upande wa Wakurugenzi wanalazimishwa kutoa fedha nyingi kwa ajili ya Kihongosi ambapo fedha hizo zilishapangwa kwenye bajeti za halmashauri kujenga zahanati, matundu ya vyoo na madawati hivyo wanafunzi wanalazimika kukaa chini kukosa madawati fedha zinapelekwa kwa ziara ya Mwenezi.

Wafanyabiashara nao wanalia kuchangishwa mamilioni ya fedha kwa ajili ya kufadhili mikutano hiyo ambapo inadaiwa ziara hiyo inatumia gharama kubwa kugharimia msafara mkubwa wa magari, kulipa posho timu aliyonayo kutoka Dodoma.

Pia fedha hizo zinatumika kugharamia posho za watu wanaokuja kumsikiliza ambapo kwa kina cha chini inadaiwa kila mwanachama anayehudhuria mkutano analipwa shilingi 20,000 ili angalau kuweza kupata picha nzuri za kuwahadaa mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini kuwa CCM bado inaungwa mkono na kujaribu kutaka kuhalalisha ushindi wa 98%.
Screenshot_20250729-090555~2.png
 
Back
Top Bottom