Tukaribisheni na siye wapiga kula wenu.Ama baada ya kula mmeshatusahau na kututupa jalalani?Wakuu,
Ziko taarifa kuwa ziara ya Kihongosi inayoendelea inaacha maumivu makubwa kwa wananchi na wafanyabishara ambapo kwa upande wa Wakurugenzi wanalazimishwa kutoa fedha nyingi kwa ajili ya Kihongosi ambapo fedha hizo zilishapangwa kwenye bajeti za halmashauri kujenga zahanati, matundu ya vyoo na madawati hivyo wanafunzi wanalazimika kukaa chini kukosa madawati fedha zinapelekwa kwa ziara ya Mwenezi.
Wafanyabiashara nao wanalia kuchangishwa mamilioni ya fedha kwa ajili ya kufadhili mikutano hiyo ambapo inadaiwa ziara hiyo inatumia gharama kubwa kugharimia msafara mkubwa wa magari, kulipa posho timu aliyonayo kutoka Dodoma.
Pia fedha hizo zinatumika kugharamia posho za watu wanaokuja kumsikiliza ambapo kwa kina cha chini inadaiwa kila mwanachama anayehudhuria mkutano analipwa shilingi 20,000 ili angalau kuweza kupata picha nzuri za kuwahadaa mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini kuwa CCM bado inaungwa mkono na kujaribu kutaka kuhalalisha ushindi wa 98%.
Yaani umbea ungekuwa unalipa ,hakika ungekuwa mbali sanaWakuu,

Bundi katua
Kwao hao atue bundi na mbweha kwa pamoja na kila siku!Bundi katua
ineshajiozeaKazi kweli kweli nchi ina laana
Ccm ilishawafanya wafanyabiashara wa nchi ni shamba la bibi sio, sasa ni mda kwa wafanyabiashara ,kukataa, ukandamizaji huu, ikiwezekana wahamishe mitaji yao ,wa baki na vioski tu , tz ,mitaji peleka huko Zambia n.k ,Wakuu,
Ziko taarifa kuwa ziara ya Kihongosi inayoendelea inaacha maumivu makubwa kwa wananchi na wafanyabishara ambapo kwa upande wa Wakurugenzi wanalazimishwa kutoa fedha nyingi kwa ajili ya Kihongosi ambapo fedha hizo zilishapangwa kwenye bajeti za halmashauri kujenga zahanati, matundu ya vyoo na madawati hivyo wanafunzi wanalazimika kukaa chini kukosa madawati fedha zinapelekwa kwa ziara ya Mwenezi.
Wafanyabiashara nao wanalia kuchangishwa mamilioni ya fedha kwa ajili ya kufadhili mikutano hiyo ambapo inadaiwa ziara hiyo inatumia gharama kubwa kugharimia msafara mkubwa wa magari, kulipa posho timu aliyonayo kutoka Dodoma.
Pia fedha hizo zinatumika kugharamia posho za watu wanaokuja kumsikiliza ambapo kwa kina cha chini inadaiwa kila mwanachama anayehudhuria mkutano analipwa shilingi 20,000 ili angalau kuweza kupata picha nzuri za kuwahadaa mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini kuwa CCM bado inaungwa mkono na kujaribu kutaka kuhalalisha ushindi wa 98%.
Lakini umbea si uongo, ila ni ukweli usiokuhusu.Yaani umbea ungekuwa unalipa ,hakika ungekuwa mbali sana
Weka ukweli hapa ndiyo njia kuushinda uongoYaani umbea ungekuwa unalipa ,hakika ungekuwa mbali sana
Tindo, kamaliza. Umbea sio uongo, ila ni ukweli usiokuhusu. By Tindo the great.Weka ukweli hapa ndiyo njia kuushinda uongo
Wakuu,