Serengeti DC
Member
- May 21, 2022
- 5
- 5
Mkuu wa mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee ameanza Ziara ya kukagua na kupokea vyumba 58 vya Madarasa vikiwa na samani zake Katika shule 21 za sekondari zilizogharimu kiasi cha Billion 1.16 zilizotolewa na serikali ya awamu ya sita ,ziara hiyo itakayofanyika kwa muda wa siku Mbili.
Madarasa hayo Mapya ni mahususi kwa ajili ya wanafunzi wapya wa kidato cha kwanza wanaotegemewa kupokelewa januari 2023.
Madarasa hayo Mapya ni mahususi kwa ajili ya wanafunzi wapya wa kidato cha kwanza wanaotegemewa kupokelewa januari 2023.