Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mara kukagua na kupokea madarasa 58 Serengeti

Serengeti DC

Member
Joined
May 21, 2022
Posts
5
Reaction score
5
Mkuu wa mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee ameanza Ziara ya kukagua na kupokea vyumba 58 vya Madarasa vikiwa na samani zake Katika shule 21 za sekondari zilizogharimu kiasi cha Billion 1.16 zilizotolewa na serikali ya awamu ya sita ,ziara hiyo itakayofanyika kwa muda wa siku Mbili.

Madarasa hayo Mapya ni mahususi kwa ajili ya wanafunzi wapya wa kidato cha kwanza wanaotegemewa kupokelewa januari 2023.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…