Ziara ya Mkuu wa Nchi huko USA imetugharimu walipa kodi kiasi gani?

Mbona hamlalamiki kuhusu mapato
 
Hizo ni pesa za walipa kodi.
Yes ni pesa za walipa kodi, ila kuna kitu kinachoitwa the right to privacy, kwenye matumizi ya fedha za umma kuna matumizi public, the public has the right to know publicly and kuna matumizi ni private, na mengine ni confidential, the public doesn't have to know, only the figures. Unaulizia matumizi ya rais ya nini?. Subirieni mtapatiwa jumla Kuu ya bajeti ya Vote 20 na sio vifungu!.
Lengo la kutosema kila matumizi ni lengo zuri tuu, vitu vingine ni confidential, sasa kuulizia ulizia kila kitu ni ukosefu wa adabu.
Pia tuanze kujifunza heshima, kumkosea adabu rais mwanaume kunavumilika Ila kumkosea adabu rais mwanamke it's different, tuanze kujifunza kushika adabu na adabu zitushike!. Sio lazima kujua kila matumizi hata ya mkeo tuu seuze rais!

P
 
Mkuu mbona umepaniq au una interest na hizo per diem
Ni vema ukamsaidia in civilizatized way
Au Jnr kashaa anza vurugu

P
 
Niliwahi kusikia mahala kuwa mkuu wa nchi yetu akiende nje ya nchi tu kwa siku inatumika mil 500.

Sasa hizi wiki mbili ni sh ngapi zimetumika?

Hii ni ziara ya kikazi au yupo vakesheni?
Zero shillings. Haijagharimu lolote, kwani wewe ukitoka Dar. kwenda kwenu Makete inakugharimu au haikugharimu? Hata akienda vacation yupo "entitled" Wewe unashangaa kitu gani? Kwani ni yeye pekee akiwa rais ndiyo anasafiri? Huoni akina Museveni, Kagame, Kenyatta, Biden, akina Obama na wengine kila siku wapo au walikuwa angani? Mnadanganywa na huyo mwizi Magufuli eti hasafiri kumbe alikuwa ana tatizo ambalo akipanda pipa, Moyo unasimama.....acha hizo wewe, Magu ni fisadi na ni fisadi mkubwa sana ambaye hajapata kutokea, anawaaminisha vinginevyo. Ni bora unyamaze ukachunge ng'ombe huko Misungwi.
 
Hela kidogo sana hiyo punguzeni wivu.

Filamu italeta faida kubwa sana.

Kwa kuanzia tu tayari baba yake rihana ameiangalia.
 

hujielewi
 
Niliwahi kusikia mahala kuwa mkuu wa nchi yetu akiende nje ya nchi tu kwa siku inatumika mil 500.

Sasa hizi wiki mbili ni sh ngapi zimetumika?

Hii ni ziara ya kikazi au yupo vakesheni?
Jiulize wewe mwaka 2021 umelipa kodi kiasi gani kwanza Je unajua??
 
Paskali ametuhabarisha tu shughuli za rais ziko chini ya kifungu kinaitwa vote 20 CAG anakagua na kutoa taarifa lakini hairuhusiwi kujadili. Tuna mambo mengi sana wananchi tuko gizani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…