Zero shillings. Haijagharimu lolote, kwani wewe ukitoka Dar. kwenda kwenu Makete inakugharimu au haikugharimu? Hata akienda vacation yupo "entitled" Wewe unashangaa kitu gani? Kwani ni yeye pekee akiwa rais ndiyo anasafiri? Huoni akina Museveni, Kagame, Kenyatta, Biden, akina Obama na wengine kila siku wapo au walikuwa angani? Mnadanganywa na huyo mwizi Magufuli eti hasafiri kumbe alikuwa ana tatizo ambalo akipanda pipa, Moyo unasimama.....acha hizo wewe, Magu ni fisadi na ni fisadi mkubwa sana ambaye hajapata kutokea, anawaaminisha vinginevyo. Ni bora unyamaze ukachunge ng'ombe huko Misungwi.