BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Zaidi ya shilingi bilioni 58 zimetumika kutekeleza miradi mbali mbali ya maendeleo katika jimbo la Muhambwe.
Miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa miundo mbinu ya Barbara, vituo vya afya, maji na ujenzi wa shule za msingi na sekondari.
Amebainisha hayo Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma wakati wa ziara ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dotto Biteko katika wilaya ya Kibondo.
Mbunge Dkt. Florence George Samizi amesema kuwa serikali ya Rais Samia imefanya kazi kubwa katika ujenzi wa miundombinu mbali mbali na hivyo kukuza uchumi wa jimbo la Muhambwe.
Nae Waziri Biteko amesema miaka ya zamani mwananchi wa Kigoma alikuwa akisafiri kwenda mikoa mingine alikuwa akifahamika kwa vumbi lakini kwa sasa mambo ni tofauti baada ya serikali kujenga miundombinu ya lami mkoa mzima.