Ziara ya Nancy Pelosi nchini Taiwan ilitoa jibu

Hivi unafikiri ni rahisi kutoka huko mbali kuja kukamata kisiwa cha Taiwan kwa taifa changa LA Marekani? China imekuwa taifa zaidi ya miaka 3000, Marekani miaka 250. USA ana nguvu ya ziada. Unachoongea wewe hapo ni ndoto. China akijaribu tu kuvamia ndo utakuwa mwisho wake. Anawindwa usiku na mchana ajichanganye na issue ya Taiwan.
 
Marekani kakamata kisiwa cha Taiwan hii umeitoa wapi ? unaandika matamanio yako
 
China sio kwamba vita haviwezi mkuu. Amefocus kujenga uchumi wake
US anataka kuitumbukiza China vitani halafu watumie NATO kumsupport Taiwan, waidhoofishe China. VITA YA KIUCHUMI😎

Mtego huo.

Na hata China akiuwasha moto na Taiwani US hatopigana bali atahangaika yeye na wenzakw kutoa fedha kwa ajili ya Taiwan.
 
Sasa si ndio akili hiyo au?
 
Sasa si ndio akili hiyo au?
Anachokifanya USA kwa China dhidi ya Taiwan ndio hicho hicho alikitengeneza Ukraine dhidi ya Russia-but at the end mtego wowote unauweka pia wenzio nao wana akili ya kutegua.

Haya mambo huwa ni maswala ya muda,utakuwa mbabe na jueri but sio kwa kila mtu na kwa wakati wote.leo hii wote tumeshuhudia Russia amisha chukua 1/4 ya Ukraine nzima-yupo wapi huyo USA na Ulaya supporter wa Ukraine mpaka maeneo yanachukuliwa.
Muda utafika hiyo Taiwan itachukuliwa na huyo USA hata kuwa na cha kufanya.
 
USA ana hali ngumu sana,anaona kabisa nafasi yake ya ukiranja wa Dunia unaenda kumponyoka miaka sio mingi.
1.kijeshi-Urusi anamkalisha,China anampumlia.
2.Kiuchumi-China anampumlia na dunia inamtenga.

Na mbaya zaidi utawezaje kui control Russia ambayo inaongoza kwa resources kuliko Nchi yoyote Duniani??-ndio maana anahangaika UE na Russia wasipatane kamwe.utaanzaje ku control China ambayo ina watu wanao zalisha products zenye high quality kwa gharama nafuu???
 
US hakuna wakumnyang'anya ukiranja
 
By the way wachina wana mission 2025, 2035 na 2049 kasome hizo mission ujue wachina nini wanataka hapa duniani.
Sawa wana mission, je Marekani atabaki bila kuwa na mission za kuendelea zaidi ya hapa alipo?
 
100% truly.
 
Hakuna Mbwa wa kukoromea Marekani akiamua jambo lake.
 
I hace said this Hundrends Times.

Hata NATO na Russia same scenario kwa China na USA they are more friends
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…