Ziara ya Nancy Pelosi nchini Taiwan ilitoa jibu

Ka jamaa kanaongea utadhani kamewahi chungulia japo vichochoro vya pentagon 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huu ndio ukweli. Utaona vita yao ni ya maneno tu karne hadi karne.

Wajinga sisi tumebaki kushabikia tu.
 
Mchina mwenyewe kufika hapo ni sababu ya techs za US na Europe, mchina huyu mwenye watu wengi ambapo inabidi wale mpaka popo eti ndo avimbe na US?
Mchina kwa US bado sanaa.
 
Mchina mwenyewe kufika hapo ni sababu ya techs za US na Europe, mchina huyu mwenye watu wengi ambapo inabidi wale mpaka popo eti ndo avimbe na US?
Mchina kwa US bado sanaa.
Hahaha....china hakuna vyakula watu wengi
 
MTanzania akishashiba makande yalilolala basi hapo ndunia nzima ataielezea kama ameiumba yeye kumbe hata mlo wa siku inayofuata hana uhakika nayo
 
Hoja yako ni ipi? Binafsi sijaielewa?
 
Muda huo CIA nao wamelala usingizi mzito?
 
Huu ndio ukweli. Utaona vita yao ni ya maneno tu karne hadi karne.

Wajinga sisi tumebaki kushabikia tu.
Eti NATO ndio wanatoa ruhusa ya Ukraine kuipiga Moscow....huu si utoto, yaani unapigana vita alafu unaambiwa usipige pale
 
Nani kakwambia Taiwan inashikiliwa na USA!?
Hivi hujui kama katika wanasiasa wa Taiwan kuna pandikizi za China mule!?
Unadhani China anafanya vitu kwa pupa!?
Kuna mamluki kibao ndani ya serikali ya Taiwan ambao ni wa China,na mwaka huu mwanzoni wapo ambao walisapoti China kuichukua Taiwan na wakisema kuwa ni sawa.
China ilichukua mipaka ya maji na baadhi ya visiwa vya PHILLIPINES kule South China sea,mbona hatukuona USA ikiitetea Phillipines!?
 
Mbona alifakamia visiwa vya Phillipines na USA hajafanya kitu?
 
Mchina mwenyewe kufika hapo ni sababu ya techs za US na Europe, mchina huyu mwenye watu wengi ambapo inabidi wale mpaka popo eti ndo avimbe na US?
Mchina kwa US bado sanaa.
Mbona unaropoka kijana!?
Una uhakika China kufika pale ni kwa tech za USA na Ulaya!?
Hivi umefuatilia historia ya China kipindi cha INDUSTRIAL REVOLUTION miaka ya 1990s!?
Nahisi humu wengi HAMJUI ama WATOTO.
 
China wana vyakula vingi wanazalisha mara mbili ya vyakula inavyozalisha bara lako zima la Afrika.
Watu wanaokula Kenge unataka kuniambia wana ng'ombe nyingi kuliko Tanzania?
 
Sera ya Marekani ni kuww hawaitambui Taiwan kama taifa

Kasome kuhusu "One China" policy
 
Mbona unaropoka kijana!?
Una uhakika China kufika pale ni kwa tech za USA na Ulaya!?
Hivi umefuatilia historia ya China kipindi cha INDUSTRIAL REVOLUTION miaka ya 1990s!?
Nahisi humu wengi HAMJUI ama WATOTO.
Sina haja ya kubishana na mfia china kobaaz kama wewe mwenye uelewa wa hapa na pale tena wa kuokoteza tena uelewa wenyewa wa kimaamuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…