PreGE2025 Ziara ya No Reforms No Election yapiga Hodi Jimbo la Mlimba, tazama ubovu huu wa barabara

PreGE2025 Ziara ya No Reforms No Election yapiga Hodi Jimbo la Mlimba, tazama ubovu huu wa barabara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Watanzania wengi kama mahayawani, mko na barabara za hivyo na mnavumilia tuli. Pesa za mabango yasiyo na tija kila kona, pesa za kuwakopesha wasanii na hawarudishi, kuwalipa kwenda Dodoma, usafiri, malazi, chakula. Zingepelekwa huku.

Kuwalipa kila kikundi kinachojianzishia kikitaja tu mama, ni ujinga. Huku wanaokatwa kodi wenyewe hali ya barabara ni hiyo. Tunapoongea hapa, ni kwa hawa ambao hawawezi paza sauti zao, kuandika popote.

Bado kuna mikulumbembe inamtetea, badala ya kujali wananchi wenye hali duni, pesa unaelekeza kwa wanaokusifia!!! unataka kusifiwa ndiyo kazi iliyokupeleka hapo?
 
Ukiona mtu anajitangaza sana jua kuna shida pahala ..Mavango nchi nzima
 
Back
Top Bottom